Ni mkoa gani ambao hata ukipata ajira huwezi kwenda?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Rafiki yangu hivi karibuni alipata kazi nzuri mkoani Njombe, yenye mshahara wa zaidi ya Shilingi Milioni 1 kwa mwezi. Aliripoti kazini Julai mwaka huu, lakini hivi karibuni ameamua kuacha kazi na kurudi Dar es Salaam.

Amesema sababu kubwa ni baridi kali iliyomfanya kuumwa mara kwa mara, ananiambia amekaa kama wiki 2 hajaenda kazini alikuwa anajiuguza tu kikohozi

Kaniambia hata iweje hawezi kurudi tena huko. Ataendelea kufanya mishe mishe mishe zake Dar
 
Huu ndo ujinga wenu vijana wa sasa.kama angekuwa ni mtoto wangu angetafuta pa kwenda kuishi.kama ana tatizo la kiafya ni sawa lkn angeomba uhamisho .kuacha kazi kizembe hivyo atafute pa kuishi na siyo kwangu.hakuna mkoa mbaya hapa Tanzania kwani wanaoishi huko ni mbwa?
 
Back
Top Bottom