Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,985
- 5,167
Kigoma pako poa tuSingida, Lindi, Mtwara, Simiyu na Kigoma.
Kigoma pako poa tuSingida, Lindi, Mtwara, Simiyu na Kigoma.
Singida kuna mishe gani za kukuingizia kipato?Hujawahi kuishi ndio maana
Lushoto kama lushoto...Kuna rafiki yangu alitoka Dar akahamia Mafinga anasema anapenda baridi na hakuna mmbu.
Mwingine alikuwa analalamika kuhama Lindi sababu alikuwa anapenda yale maisha ya utulivu na samaki kule ferry.
Ila miye Lushoto ilinishonda aisee.Ile baridi na ile barabara kitonga mwa mwiii hatari sana.
Kuna matope wakati wa mvuaKilimanjaro hasa hasa moshi
😆😆😆😆😆Mimi popote nafanya hata kama ingekua kazi ya kuchochea moto uko motoni kama Yesu analipa vizuri ningeenda
Ni rahisi sana kuandika hivi ukiwa DsmHuu uzi ni wa watoto wa kishua. Binafsi kambi ni popote.
Msiwe mnaleta mifano ya takataka humu, mtawavunja moyo vijana!Wakuu,
Rafiki yangu hivi karibuni alipata kazi nzuri mkoani Njombe, yenye mshahara wa zaidi ya Shilingi Milioni 1 kwa mwezi. Aliripoti kazini Julai mwaka huu, lakini hivi karibuni ameamua kuacha kazi na kurudi Dar es Salaam.
Amesema sababu kubwa ni baridi kali iliyomfanya kuumwa mara kwa mara, ananiambia amekaa kama wiki 2 hajaenda kazini alikuwa anajiuguza tu kikohozi
Kaniambia hata iweje hawezi kurudi tena huko. Ataendelea kufanya mishe mishe mishe zake Dar
Kabisa yaani! USHOGA umewajaa Wabongo kuliko Ulijari. LolMtu kuacha kazi keshakua shoga mara hii hii Jf ina watu eenyr shida mahala 😅
Kibena sehemu gani? Njoo hapa Hospital.Nipo Kibena Boss
Njombe maisha rahisi? Kwenye nini yaani? Ila Joto ni kweli hasa usiku, Alooooh.Ila Njombe mwezi huu Kuna joto la kufa mtu.
Pia maisha ni rahisi sana huku...
😂😂😂😂 aaah wapiii?Ata Songea Totoz zipo halafu easy going!!
Mkuu kuna kazi unapata unakuta mshahara unaokunja utawaomba hizo kazi zao wawe wanakuletea uzifanyie huko huko hospitaliKWangu inategemea na mshahara
Kuna mshahara ukipewa popote unaenda
Nimewahi kufika Mufindi, aisee lile baridi hapana. Halafu msimu wa baridi ndo ulikuwa unaondoka hivyo.Mimi binafsi wilaya ya Muhindi nimepanyoshea mikono hata iweje.
Na ili tuongee lugha moja, ni Lazima uwe umefika Mufindi.
Nimewahi kufika Mufindi, aisee lile baridi hapana. Halafu msimu wa baridi ndo ulikuwa unaondoka hivyo.
Kabisa mkuu nyengine sio poaMkuu kuna kazi unapata unakuta mshahara unaokunja utawaomba hizo kazi zao wawe wanakuletea uzifanyie huko huko hospitali
Kuna baridi kali sana, linaumiza.Mimi nimewahi kupiita mwezi wa kumi na mbili kuna baridi n hatari
Biashara yoyote ile unayoiona ipo mkoani kwako ipo Singida na watu wanapiga hela mbayaa.Singida kuna mishe gani za kukuingizia kipato?