Ni mkoa gani ambao hata ukipata ajira huwezi kwenda?

Ni mkoa gani ambao hata ukipata ajira huwezi kwenda?

Watanzania (weusi) asilimia 80 tunasoma kuajiriwa...

Haijalishi nyumbani pesa ipo au haipo...

Hiki ndiyo kinafanya niamini jamaa alikuwa na option nyingine, na aliomba ajira kama desturi ya watanzania wengi...

So alipoona changamoto ikawa rahisi kurudi kwenye option zake za mwanzo..
Hao wengi hawana hela ila najua wenye hela hupeleka watoto shule Kimkakati..Mkuu ninao ushahidi na tumesoma na hao watu wenye hela kwa bahati mbaya familia zetu zilianguka kama unavyojua.

Hawapo hapa wengi 95% na waliopo hapa Bongo wako na Ukwasi kwa kiwango chao.
Hawa ndio walitutia moyo wengine tuchukie kuajiriwa..

Huyo ni mtu wa kawaidia tu kama walivyowengine wanaoacha acha kazi kisa maeneo au maslahi.Nje na hapo option yake ni kuangalia mshahara mkubwa zaidi ya huo si mazingira.
 
Wakuu,

Rafiki yangu hivi karibuni alipata kazi nzuri mkoani Njombe, yenye mshahara wa zaidi ya Shilingi Milioni 1 kwa mwezi. Aliripoti kazini Julai mwaka huu, lakini hivi karibuni ameamua kuacha kazi na kurudi Dar es Salaam.

Amesema sababu kubwa ni baridi kali iliyomfanya kuumwa mara kwa mara, ananiambia amekaa kama wiki 2 hajaenda kazini alikuwa anajiuguza tu kikohozi

Kaniambia hata iweje hawezi kurudi tena huko. Ataendelea kufanya mishe mishe mishe zake Dar

Kweli kabisa, mshahara mkubwa pekee hautoshi kama mazingira ya kazi hayaendani na afya na maisha yako. Kabla ya kukubali kazi mkoa mwingine, ni muhimu pia kuzingatia hali ya hewa, makazi, gharama za maisha na mazingira utakayoishi. Afya ni mtaji, na kila mtu ana mazingira anayoweza kuzoea.

Kwa wanaotafuta kazi au fursa nyingine zinazoweza kuwafaa, unaweza kutembelea Best Talent Reach (BTR) kupitia Latest Job Opportunities | Best Talent Reach kupata nafasi mbalimbali za kazi Tanzania na kuchagua fursa zinazolingana na malengo yako. Kazi nzuri si mshahara tu, bali pia mazingira yanayokuwezesha kufanya kazi na kuishi vizuri. ❤️
 
Wakuu,

Rafiki yangu hivi karibuni alipata kazi nzuri mkoani Njombe, yenye mshahara wa zaidi ya Shilingi Milioni 1 kwa mwezi. Aliripoti kazini Julai mwaka huu, lakini hivi karibuni ameamua kuacha kazi na kurudi Dar es Salaam.

Amesema sababu kubwa ni baridi kali iliyomfanya kuumwa mara kwa mara, ananiambia amekaa kama wiki 2 hajaenda kazini alikuwa anajiuguza tu kikohozi

Kaniambia hata iweje hawezi kurudi tena huko. Ataendelea kufanya mishe mishe mishe zake Dar
Wanaume wa Dar bwana 🙌
Alishindwa kuvaa Masweta?
Amekimbia bure, sasahivi joto limejaa tele.
 
Mimi popote nafanya hata kama ingekua kazi ya kuchochea moto uko motoni kama Yesu analipa vizuri ningeenda
 
Iringa
Njombe
Makambako
Makete
Dodoma

Hizo sehemu narusha taulo chini, niliendaga hapo Makambako kuna dogo amesoma huko miaka 4 akawa ana graduation, mimi siku 2 tu zilinichosha baridi.. usiniulize kwanini Dodoma? mchana jua kali usiku baridi kali na ile alfajiri ndio baridi inatesa mbaya na kuna vumbi km Mbeya ingawa Mbeya naweza kuishi bila shida yoyote baridi la Mbeya haliumizi
 
Kwangu kazi popote tu,kila mahali ni pazuri ukiwa na hela...
 
Back
Top Bottom