Ni mkoa gani ambao hata ukipata ajira huwezi kwenda?

Ni mkoa gani ambao hata ukipata ajira huwezi kwenda?

Biashara yoyote ile unayoiona ipo mkoani kwako ipo Singida na watu wanapiga hela mbayaa.

Ukulima hapa sasa ndio utajiri ulipolala unaweza kuwa tajiri endapo tu ukijikana.
Ule ukame unalima nini singida mkuu?
 
Ule ukame unalima nini singida mkuu?
Hamna sehemu yoyote ile Tanzania inayolima zao la Alizeti na Kitunguu kushinda Singida

Unalifahamu Soko la kimataifa la Vitunguu linapatikana wapi?

Singida sio Kame ila baadhi ya maeneo ndio kame, nitajie mkoa unaouona wewe unafaa kwenda kisha tuulinganishe na Singida kwa kile sekta
 
Mbeya,morogoro,njombe,kigoma
 
Mbeya,morogoro,njombe,kigoma
Ahsante bahati nzuri nimekaa au kusoma kote ulipopataja.

Nikiandika yote nayojua hutasoma ila mbeya kuna hali mbaya ya hewa, kukame, kuna vumbi karibu robo tatu ya mkoa mzima ile green ipo sehemu chache kama Tukuyu, kiwira huko n.k maisha magumu utaishia kuwa kijeba na kama ni mfupi kwisha, nyumba za tofali za tope mixer kuchoma

Morogoro ni mji ambao aliyeondoka 2007 akirudi leo hii hakuna mahali anapotea Masika ni ileile hakuna kipya moro, maisha ni magumuu kula tu ndio rahisi pale nyumba mbayaaaa chakavuu

Njombe nimeishi kwa ramadhani yani ukiambiwa utaje mikoa wanayoishi wadudu Tanzania taja na njombe ni pabaya hujawahi kuona mimi ni miongoni mwa anzilishi wa Glory pub njombe muulize Dj Tay C 😆 watu wanapakandia Lindi ila kuna nafuu

Kigoma nimesoma Kasulu pale High school aiseee kwanza aina ya watu tu walioko Kigoma ni kichefuchefu pazuri ni ujiji peke yake
 
Isenye umeona vijumba vya mbeya vinavyoporomolewa na mvua huko

Yani kuanzia msingi hadi juu ni tope wanalamba plasta tu 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom