Wakuu habari ya wakati huu.
Wakuu hili suala la manesi wa kiume kukataliwa kwenye hizi hospitali za private limekua sugu sasa.
Mara kadhaa nina washikaji waliosoma hiyo kozi wanahaha sana kupata ajira.
Yaani inaweza ikatokea imetangazwa au nikapigiwa simu lakini mtu ukimwambia tu nesi wa...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu itaendela kuisimamia na kuipa hadhi sekta ya afya ikiwemo kwa kutoa vibali vya ajira pamoja na kujenga miundombinu ya kutolea huduma hizo katika ngazi zote.
Amesema mpango wa Serikali kwa...
Utumishi (PSRS) wamemaliza usaili KADA ya UALIMU Jana jumatatu Tarehe 24. Ni vyema wakaachia majina ya waliopata AJIRA (PLACEMENT) ya masomo yote Kwa mkupuo kuliko kuwaweka Vijana waendelee Kila mara kushinda mtandaoni kuangalia PDF haya yaliwezekana TAMISEMI Kwanini wao wasifanye hivyo.
Pia...
Nimesikitishwa hii mitihani kutofanyika online badala yake wanafanya mtihani kwenye makaratasi.
Kada nyingine zimekuwa zikifanya mtihani online na kwa kiasi kikubwa ni mitihani inayoaminika zaidi kuliko hii ya makaratasi.
Tatari kumekuwa na hofu kuwa hizi nafasi huenda zina wenyewe na wengine...
Inaendelea kutoka kwenye heading.....
Tofauti na hapo mnakuja kuleta maada. Haiwezekani Hawa vijana wamemaliza chuo fani moja mfano mwalimu wa masomo ya Chemistry na biology ama history na literature amemaliza 2016 lakini hamjamuajiri unakuja kumuajiri mwalimu wa masomo hayo hayo aliyehitimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.