ajira sekta ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Kozi ya Unesi kwa jinsia ya kiume wanateseka sana kupata ajira hasa vituo binafsi. Mnaofikiria kusoma hii kozi mlitazame hili

    Wakuu habari ya wakati huu. Wakuu hili suala la manesi wa kiume kukataliwa kwenye hizi hospitali za private limekua sugu sasa. Mara kadhaa nina washikaji waliosoma hiyo kozi wanahaha sana kupata ajira. Yaani inaweza ikatokea imetangazwa au nikapigiwa simu lakini mtu ukimwambia tu nesi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ampongeza Rais Samia kwa kuendelea kutoa vibali vya ajira Sekta ya Afya

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu itaendela kuisimamia na kuipa hadhi sekta ya afya ikiwemo kwa kutoa vibali vya ajira pamoja na kujenga miundombinu ya kutolea huduma hizo katika ngazi zote. Amesema mpango wa Serikali kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ajira utumishi wa umma kada ya ualimu PDF iachie walimu waliofuzu wote

    Utumishi (PSRS) wamemaliza usaili KADA ya UALIMU Jana jumatatu Tarehe 24. Ni vyema wakaachia majina ya waliopata AJIRA (PLACEMENT) ya masomo yote Kwa mkupuo kuliko kuwaweka Vijana waendelee Kila mara kushinda mtandaoni kuangalia PDF haya yaliwezekana TAMISEMI Kwanini wao wasifanye hivyo. Pia...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Huu usaili wa kada za afya una walakini na unatengeneza mianya ya rushwa

    Nimesikitishwa hii mitihani kutofanyika online badala yake wanafanya mtihani kwenye makaratasi. Kada nyingine zimekuwa zikifanya mtihani online na kwa kiasi kikubwa ni mitihani inayoaminika zaidi kuliko hii ya makaratasi. Tatari kumekuwa na hofu kuwa hizi nafasi huenda zina wenyewe na wengine...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali mtakapotoa ajira za kada za elimu na afya ambazo wahusika Huwa hawafanyiwi usaili basi muwachukue wale waliomaliza miaka ya nyuma

    Inaendelea kutoka kwenye heading..... Tofauti na hapo mnakuja kuleta maada. Haiwezekani Hawa vijana wamemaliza chuo fani moja mfano mwalimu wa masomo ya Chemistry na biology ama history na literature amemaliza 2016 lakini hamjamuajiri unakuja kumuajiri mwalimu wa masomo hayo hayo aliyehitimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…