ajira serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    THRDC: Kusitishwa USAID kumepelekea changamoto kwenye NGO's; Watu kupoteza ajira, kusitishwa miradi, wahitaji kuathirika na kupungua fedha za kigeni

    Ripoti mpya ya Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) inaonyesha kuwa kusitishwa kwa ufadhili kwa ghafla kumevuruga shughuli za NGOs za ndani, kusababisha upotevu wa ajira, kufungwa kwa miradi, na matatizo katika utoaji wa huduma. Kwa miongo kadhaa, Marekani imekuwa mfadhili mkuu wa...
  2. A

    DOKEZO Tunalazimishwa kuacha kazi Shule Binafsi Tabora kisa tulifanya usaili ajira Serikalini

    Mimi ni mwalimu niko Tabora, kwa sasa nafundisha Shule ya IPULI HOLY FAMILY PRE AND PRIMARY MISSION SCHOOL, baada ya ajira za Ualimu kutangazwa za Serikalini niliomba, nikapata nafasi ya kwenda kufanya usaili. Baada ya kurejea manager wa shule yangu amekuwa akitushinikiza kuandika barua mimi na...
  3. RingaRinga

    Muda wa ajira kwa baadhi ya kada za Serikalini uwe mfupi

    Tatizo la ajira serikalini limekuwa sugu sana. Ajira ni mojawapo ya keki ya taifa inayofaa kufaidiwa na wote wanaostahili. Sasa nashangazwa na utaratibu wa serikali wa kuwang'ang'ania watumishi wa serikali hadi watimize umri wa miaka 60 ya kuzaliwa. Kuna baadhi ya kada kwa kuzingatia wingi wa...
  4. J

    Kuna sababu ya kufupisha muda wa ajira serikalini ili kuto fursa za ajira kwa wimbi kubwa lililo mtaani?

    Kadri miaka inavyo zidi kwenda kunakuwa na ongezeko kubwa la wimbi la vijana wanao tafuta ajira. % kubwa wengi wanapata ajira wamesha choka miaka ya 35-40.... hapo ana ambuliatu Ela ya kustaafu Hoja ya msingi serikali ungekuja na mpango kupunguza muda wa kuajiriwa ikawa miaka 10, Kama ilivyo...
  5. Nigrastratatract nerve

    Ajira Serikalini iwe miaka 10 tu, baada ya hapo watu wastaafishwe

    Serikali inatakiwa iwe inatoa ajira kwa miaka 10 tu baada ya hapo mfanyakazi astaafu.
  6. kante mp2025

    Kuomba nafasi ya kazi kwa aliyepata ajira serikalini kada ya maabara ya hospitali!!

    Kama heading inavojieleza hapo juu mimi ni mtaalamu wa maabara, mwenye stashahada nilijaribu kurusha ndoana kwenye ajira za utumishi nikala ndoige ya kichwa kwa kupigwa NOT SELECTED Sasa nimeona wanazengo wengi wakilamba asali kwenye pdf hizi za serikali hasa upande wa kada yangu ya maabara na...
  7. LegalGentleman

    Ajira serikalini

    Sikiliza muungwana na nisikilize kwa umakini sana. Kazi za Serikali na private sector ni ngumu sana muungwana. Wanaotoka ni wachache sana sana ila wanaotaka kuingia ni wengi. Sasa iko hivi kwako wewe ambaye unasema sina ata mtaji sasa nitawezaje?🥺😭😭😭 sasa acha kuilamu serikali muungwana mda...
  8. Mr Suprize

    Mnishauri, nahitaji kuacha ajira Serikalini ili nisimamie biashara zangu

    Nina mwaka tangu niajiriwe Serikalini lakini ukweli sioni future yoyote kwenye hii kazi niliyoajiriwa, naona kabisa naenda kuzika ndoto zangu na kubaki kuishi Kwa kutegemea mshahara. Kabla sijaajiriwa nilikuwa na biashara zangu ambazo nilikuwa naingiza net profit Million 1.5 Yani hiyo ni...
  9. Faana

    Ujasiri na ujuzi wa kuhamisha nyuki vyampa ajira serikalini

    ======= Geita. Ni maajabu ya kweli. Unaweza kusema hivyo. Ni kutokana na uwezo wa kipekee wa Athuman Masimba (30), mzaliwa wa Muheza mkoani Tanga anayeishi Geita, wa kukamata kundi la nyuki kwa mkono bila kudhurika. Masimba anayesema ujasiri huo, pamoja na mambo mengine, ameupata baada ya...
  10. Mwl.RCT

    Serikali yatangaza nafasi za kazi 6,257 katika wizara, idara, wakala za Serikali, Mikoa na Serikali za Mitaa

    Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza nafasi za kazi jumla ya elfu sita, mia mbili na hamsini na saba (6,257) katika Wizara, Idara, Wakala za Serikali, Mikoa na Serikali za Mitaa. Nafasi hizo zinahusisha maeneo mbalimbali ikiwemo kilimo, uvuvi, misitu...
  11. J

    KERO Kuhakiki vyeti vya elimu kabla ya kuomba Ajira Serikalini ni usumbufu na kikwazo kwa waomba Ajira Tanzania

    Habari Wana jamvi hivi ni kwanini tukitaka kuomba Ajira za Serikalini tunahitajika ku-certify vyeti vyetu vya elimu kwa wanasheria au mahakamani? Je, mamlaka za Ajira hazitambui vyuo tulivyosoma au kuna umuhimu gani haswa wa ku-certify vyeti hivyo. Je, Kama vyuo tulivyosoma vinatambuliwa na...
  12. W

    Maisha ya Biashara Bongo ni magumu kumaintain, Yapo Overrated kwa kuangalia wachache waliopiga mshindo, nasisitiza ajira serikalini ndio mpango

    Na kama unadhani ajira zenye mishahara midogo serikalini wana maisha magumu (mfano uliozoeleka walimu), basi hujui chochote kuhusu biashara, kuna watu wiki nzima hawauzi chochote, Maduka yanafungwa kila kukicha mtu hawezi lipa hata elf 50 ya frem, kufilisiwa nyumba za urithi kwa kushindwa kulipa...
  13. C

    SoC04 Ajira serikalini ni msoto baada ya msoto, twende hivi

    Kupata kazi ni haki ya kila raia mwenye sifa STAHIKI kwa miongozo ya kitaifa na kimataifa. Sifa kubwa ni kuhitimu katika fani inayotakiwa sokoni kutoka kwenye vyuo vinavyotambulika na mamlaka za nchi husika. Kama tunavyotambua safari ya masomo/elimu ni safari ya kujitoa kwa mali, muda na hali...
  14. More Chances

    Ni mwaka wa 6 sasa sijapata ajira ya ualimu TAMISEMI

    Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira. Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya...
  15. OMOYOGWANE

    Ukimaliza chuo ukakaa mtaani miaka mitano bila ajira, mifumo ya ajira serikalini inakutema

    Chukulia mfano umemaliza chuo mwaka 2015, 2016, 2017, 2018 na 2019 kishuka chini alafu jaribu kuomba ajira serikalini. Pitia vigezo vyote kabla ya maombi 😀 kivyovyote vile lazima kuna kigezo kimoja utakuwa haukidhi hasa hasa umri. Mfano Tangazo la ajira za polisi la juzi. Watu wamesoma...
  16. Jamii Opportunities

    Serikali yatangaza nafasi za kazi katika kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia nne sabini (470) kama...
  17. Boss la DP World

    Moshi: Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM adaiwa kuwatapeli Vijana waliotaka connection za ajira Serikalini

    Hii ni video ya mmoja wa waathirika akisimulia mkasa huo. Kama ni kweli TAKUKURU fanyeni kazi yenu kwa watoaji na wapokeaji https://youtu.be/0FShyxkzsLY?si=ZnTW2Uee3bRbNQks
  18. S

    Ushauri: Ajira serikalini

    1. Wadau habarini, nimeitwa kwenye usaili tangazo la tarehe 11/08/2023 Nimeitwa wakati huo Nina barua ya utumishi ikinitaka niombe ili niweze kupangiwa kazi, Sasa je nikienda na barua yao nitafanya interview ama laa na nikifeli japokuwa natarajia kufaulu watafanya nini wakati huo barua ina...
  19. ommytk

    Hivi mtu mwenye imani ya Rasta anaweza kupata ajira serikalini?

    Wadau naomba kujuzwa hili maana nina mjukuu wangu anasoma, ndoto yake aje kuwa Dokta na sisi ni rastafari. Je, anaweza pata ajira?
  20. benwise

    Nifanyeje ili niweze kutuma maombi ya ajira Serikalini?

    Salam wakuu.kuna ndugu yangu amehitimu chuo cha ualimu kwa level ya shule za msingi miaka mitatu iliyopita na sasa kwa zaidi ya miaka miwili anajitolea kwenye shule fulani huo mkoani. Changamoto iliyopo tangu ajira zimetangazwa mara ya kwanza na hata sasa ameshindwa kuomba kutokana na...
Back
Top Bottom