Mshahara wa mfanyakazi na wengine wenye kipato fixed kama wapokea pension huwa unapungua kila mwaka. Kinachokula mshahara wa watu hawa ni mfumuko wa bei. Kwenye mfumuko wa bei thamani ya pesa huwa inapungua.
Mfumuko wa bei wa 5% maana yake pesa imepungua nguvu kwa asilimia tano. Kama unapata...
Habarii wakuu,
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Mimi ni kijana wa kitanzania Mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzi(Ordinary diploma in civil engineering NTA level 6) kutoka chuo cha ufundi.
Nimekaa mtaanii kwa zaidi ya mwaka mmoja Sasa nikijaribu bahatii yangu katika makampunii mbalimbali...
Sio siri kwa jinsi mwelekeo ulivyo kwa Sasa kwa watu waliosoma degree kupata kaz serikalin no asilimia ndogo Sana.
Na kwa masikitiko makubwa wengi waliosoma degree ni wenye uchumi mdogo walifanya hivyo kutokana na kulipiwa ada na serikali.
Najua kuna baadhi ya wanamember watasema kusoma ni...
Kuna kilio kikubwa sana toka kwa watu ambao hawakusoma vyuo vya Tanzania yetu. Ajira za serikalini zinazoelekezwa katika vyuo vya elimu ya juu vinahitaji uwe na kiwango fulani cha GPA, nadhani iwe 3.8 kwenda juu. Hili ni hitaji sahihi lakini kuna tatizo la kukariri neno GPA hata kwa watu...
Nawasalimu kwa jina JMT
Moja kwa moja najikita kwenye mada.
Nimepata ndogo ndogo kwamba kuna baadhi ya taasisi za umma zinaomba/zinataka warejeshewe mamlaka ya mchakato wa ajira kama zamani kinyume na Sekretarieti ya ajira PSRS inayosimamia suala hilo kwa sasa.
Naishauri serikali isisikilize...
MACHACHE HAYA YATAIOKOA SERIKALI NA MACHINGA WAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Awamu ya tano ilisitisha Ajira za kila mwaka, ilikuwa awamu ambayo serikali ilipunguza kuajiri Kwa Asilimia kubwa Hali iliyoleta Malalamiko Kwa wasomi waliohitimu vyuoni.
Katika kutatua changamoto hiyo ya Ajira, ndipo...
Inasikitisha mno,
Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.
Wakati haya yakiendelea.
Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.
Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.
Lakini wanapotaka...
[emoji120][emoji120][emoji120]kwa nianze kwa kumshkru mungu mwingi wa rehema kwa kuweza kunipa pumzi bure na hatimaye Leo nimeamua kuandika stori yangu nzito na yenye maajabu .
Stori sehem ya kwanza:
Kwanza nianze kwa kutokutaja jina langu halis kwa sababu zangu binafs. Mimi Ni moja ya watoto...
Habari za asubuhi?
Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .
Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka...
Job Summary
We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE.
Job Description
A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
Kada ya elimu wataajiri watumishi wapya 10,297, afya 11,215, kilimo 1,383, mifugo 1,250, uvuvi 733, Jeshi la Polisi 1,782, Magereza 843, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji 512 na watumishi wapya wa hospitali za mashirika ya kidini na hiari 1,240.
Serikali ya Tanzania imesema katika mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.