=======
Geita. Ni maajabu ya kweli. Unaweza kusema hivyo. Ni kutokana na uwezo wa kipekee wa Athuman Masimba (30), mzaliwa wa Muheza mkoani Tanga anayeishi Geita, wa kukamata kundi la nyuki kwa mkono bila kudhurika.
Masimba anayesema ujasiri huo, pamoja na mambo mengine, ameupata baada ya...