ajira za polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usaili wa ajira za polisi zitafanyika sehemu gani Singida?

    wadau interview ya ajira za jeshi la polisi mkoa wa singida zitafanyika sehema gani? Hadi sasa hakuna taarifa rasmi kwa anayefahamu atusaidie
  2. Msaada kuhusu usaili wa ajira za polisi

    Wakuu habari za majukumu, Naombeni msaada juu ya usaili wa haya majina ya ajira za polisi yaliyotoka Leo. Je inawezekana kufanya interview sehem ambayo ni tofauti na uliyojaza hapo awali? Mfano awali niliomba Iringa lakini muda huu nipo Kagera na siwezi kurudi Tena Iringa kwa Sasa. Inawezekana...
  3. K

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko AsantnišŸ™
  4. O

    Msaada: Maslahi kwenye ajira za polisi yakoje kwa sasa?

    Jamani kwa mwenye anajua maslai ya polisi kwa sasa embu atuambie maake nasikia kwamba ajira walizotoa mwaka huu maslai wataboresha zaidi, ukizingatia kwa sasa ni vijana watupu wamepewa kipaumbele but kwa upande wangu i think this all its done because of the general election on 2025.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…