Ufafanuzi wa Ajira JWTZ, Polisi na Magereza

Ufafanuzi wa Ajira JWTZ, Polisi na Magereza

Qasw

New Member
Joined
Jul 5, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Habari
Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye kujua, Ajira za jeshi, polisi na magereza hutolewa tofauti tofauti ?
Au zinatangazwa Ajira za polisi then baada ya mafunzo mnagawanyishwa ?
Na je huwa zinatangazwa mwezi wa ngapi??
 
Huwa zinatangazwa tofauti mfano polisi zikitoka wa2 wanaomba kupitia portal yao, Jwtz hutangaza tofaut na magereza.. maana hata kambi za mafunz zpo maeneo tofauti mfan polis ~ kilimanjaro, magereza ~mbeya, jwtz ~pwan & arusha
 
Back
Top Bottom