ajira za ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    SI KWELI Sekretarieti ya ajira wametoa taarifa kwamba walimu walio kosa maksi tano kufikia ufaulu kupangiwa vituo vya kazi kwa utaratibu maalumu

  2. Mkalukungone mwamba

    Prof. Adolf Mkenda: Walimu endeleeni kujiendeleza hata kama hamna ajira ili kuwasaidia wakati wa usaili

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa walimu kuendelea kujiendeleza kielimu ili kuwasaidia wakati wa usaili. Prof. Mkenda ametoa wito huo Jumanne Februari 11, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu hoja za wabunge waliolikuwa wakichangia Taarifa ya Kamati...
  3. Musangaa

    Mchakato wa ajira za ualimu mwaka 2025 si wa haki, umekaa upendeleo

    Mchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote yule, hii ilihitaji pesa kama Hauna basi umekula kwako. Kwenye interview napo pamejaa mambo ya hovyo...
  4. Mkurya mweupe

    Usaili wa ajira za ualimu hauko fair

    Nimeshangaa kuona jamaa yangu mmoja leo ambae huwa ni dereva bodaboda karibia mwaka wa tisa sasa akisema ametoka kufanya interview ya ualimu, Kwanza nimeshangaa maana sikuwahi kujua kama ni mhitimu wa degree ya ualimu mwaka 2015 kutokana na kumuona yupo serious na kazi hiyo Kinachonishangaza ni...
  5. nipo online

    Familia imenijia juu kisa sijaomba ajira za ualimu serikalini ambazo kuna interview kuanzia Leo

    nimeitwa mzembe, nisiejitambua, wanadai nimesomeshwa kwa shida lakini naleta ujuaji kisa nimekua. Ni hivi wakuu, kwa sasa nipo sekta binafsi, hapa mjini, mwaka jana nilipewa connection na mkuu wangu ya kusimamia mtihani wa form 4 ndipo nikapata mtaji wa kufungua goli la salon. Kwa nini...
  6. Mwizukulu mgikuru

    Kwanini ajira za Tanzania zikitangazwa zinaishia hewani?

    Sio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani. Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia maigizo? Kuna haja gani ya kutangaza ajira hewa? Acheni kutesa watoto wa watu. Hakuna graduate...
  7. Impactinglife

    Je, Utumishi Wanaenda Kinyume na Maagizo ya Waziri Wa Elimu na Rais Kwenye Suala la Ajira za Ualimu?

    Wakuu Habari! Naomba nisiwachoshe niende kwenye MAADA moja Kwa moja. Leo Utumishi Kupitia kurasa zao za kijamii wametoa Tarehe za usaili Kwajili ya waalimu. Chakushangaza ni kama wanaenda kinyume na maono na maagizo ya waziri wa Elimu Prof. Adolf mkenda. Waziri Kwa kutumia AKILI Zake kubwa...
  8. Kidagaa kimemwozea

    Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili

    Waombaji ajira za ualimu waitwa usaili. Usaili huo utafanyika kati ya january 14 mapaka 24 mwezi februari 2025. Ikumbukwe kuwa usaili huo uliahirishwa tangu october 17, 2024. Soma zaidi <<< WAOMBAJI AJIRA ZA UALIMU WAITWA USAILI 2025
  9. M

    Zile Ajira za ualimu zilizoimbwa tangu February zipo wapi mamlaka tokeni hadharan mseme

    Mamlaka tokeni hadharan mseme Kuna Nini kinaendelea . Mlisitisha usaili bila taarifa Mashule yanaelekea jufunguliwa shule nyingi za private zinataka walimu kwa mikataba japo wanalipa Kidogo. . Walimu wanabaki njia panda wasaini mikataba ya mishahara jkidogo au wasubiri Ajira za serikalini ...
  10. M

    Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajira za ualimu ambazo usaili ulisitishwa, atujulishe hapa.

    Baada ya taarifa ya kusitishwa zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, hakuna taarifa nyingine ambayo imetolewa na mamlaka husika juu ya nini kitafata au kama utaratibu wa namna ya kuwapata walimu hao utabadilika. Najuwa Jamii Forum ni jukwaa lililosheheni watu kutoka vitengo mbalimbali na pengine...
  11. Mmea Jr

    Serikali, labda tungefanya hivi juu ya ajira za ualimu

    Habari zenu wakuu ,,, natumaini wote mpo salama ,, wale walioamka wakiwa wagonjwa ninawaombeni duwa ,, inshallah mtakuwa salama,, na waliofikwa na misiba na majanga ya kila namna ninawaombeni muweze kuvuka salama katika nyaka hizo ngumu zilizowafika.. Kwa kipindi sasa wengi tumeshuhudia njia...
  12. o_2

    Kulikoni ajira za ualimu 2024?

    Kutokana na sintofahamu usaili wa kada ualimu kusitishwa mpaka itakapotangazwa, hebu chukua dakika tano kumsikiliza Mh. Waziri wa elimu. Halafu nipe maoni yako. Ubaya ubwela.
  13. Ze Heby

    TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti. Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe...
  14. I

    Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

    Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa. Afya mpaka leo hakuna Pdf. Je, kipi kiko nyuma ya haya? 1. Serikali haina Hela. 2. Utumishi wamelemewa. . .
  15. Abtali mwerevu

    Interview Iringa Ajira za Ualimu

    Kuna mdau hatumii JF, kachaguliwa kwenda huko Iringa, ila kaniomba nimtangazie group lake kwa waliochaguliwa kwenda huko ili mshirikiane mawili matatu wasomi nyinyi. Jiunge moja kwa moja kupitia link hii: Iringa Interview
  16. Kidagaa kimemwozea

    Maelfu waitwa kwenye usaili ajira za ualimu 2024

    Hatimaye mchakato wa kupata Majina ya waliofanikiwa kupenya katika Hatua ya usaili imekamilika, na Orodha hiyo tayari imetolewa ambapo mwombaji anatakiwa kuangalia status ya maombi yake katika account mtandao ya Ajira. Aidha mwombaji anatakiwa kujiandaa vizuri katika usaili utakao fanyika baada...
  17. M

    Updates Ajira za Ualimu (Hii imekaaje Wadau??)

  18. Mmea Jr

    Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

    Kupeleka ajira za ualimu ni moja ya maamuzi ya ovyo ambayo serikali imewahi kuyafanya. Sitoshaangaa hapo baadae mwanasiasa mwingine atakapokuja na kuamua kuzirudisha tena Tamisemi au akatumia udhaifu ulioneshwa na utumishi kuombea kura kwa wasaka ajira za ualimu. Wakati ajira hizi zipo...
  19. Nyanda Banka

    Kila nikikumbuka ajira za ualimu nazo zina interview Sasa hivi nachanganyikiwa basi wangezingatia na miaka ya kuhitimu chuo

    Yani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula ajira kwakuwa kafaulu interview na Hana muda mrefu kumaliza chuo bado ubongo wake umejaa material ya...
  20. o_2

    Tulioomba ajira za ualimu kupitia Ajira Portal, angalieni status zenu

    Habari, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Siku tatu zilizopita STATUS ilibadilika kutoka employer kuwa MDAs na LGAs hadi employer kuwa mkoa husika. Jana imebadilika status imebadilika tena na kurudi MDAs na LGAs. Hii inaashiria kitu gani? Tuendelee kuvuta subira.
Back
Top Bottom