Hiki ni kitu ambacho kinaniumiza kichwa kufahamu kwakuwa hakuna taarifa maalumu ya kwamba Tamisemi hawatahusika na hizi ajira za Ualimu
Hili linatia mashaka baada ya siku za nyuma kutangazwa ajira za Ualimu kupitia sekretarieti ya ajira na utumishi wa umma na ikahitajika waalimu kujisajili...
Ewe unayeomba ajira za ualimu hakikisha umefuata maelekezo na masharti kama yalivyoelekezwa na utumishi.
Barua yako ya maombi utie saini kwa mkono wako, jidanganye utumie adobe signature unaliwa kichwa. Address ya utumishi usikosee hata nukta, Certify vyeti vya taaluma kama ilivyoelekezwa.....
Huu mwaka nahisi kutakuwa na kujuana sana REJEA kilichotokea mwaka Jana 2023 Pale Iringa walipokua wanataka kuajiri Watendaji Mpaka Serikali ikaingilia Kati kwa sababu ya Mivutano ya Mimi Namtaka Nimweke huyu na Mwingine anataka wake, Ajira za Kufanyiwa usaili zinagubikwa sana na Rushwa hasa kwa...
napenda kuwakumbusha mambo muhimu ya kuzingatia unapoomba nafasi secretariati ya ajira katika utumishi wa umma
1. hakikisha unatoa copy ya vyeti ikiwemo cha kuzaliwa, sekondari na talaluma na kuweka muhuri wa kuverify kwa wakili, mwanasheria au mahakama
2. unapoandika barua ya maombi...
Serikali imatengaxa ajira za ualimu 2024 zaidi ya nafasi 11,000 fungua PDF kuona
---
TAMISEMI wametangaza Ajira za walimu 11,015.
TANGAZO LINASEMA HIVI:
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha...
Hivi mmesikia chochote kuhusu hizi ajira zilizoahidiwa kutolewa mwaka huu, maana TAMISEMI naona wapo kimya
Taarifa za awali tulizisikia muda mrefu na tukaambiwa mpaka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani ameshatoa kibali na kusaini ili ajira zitolewe mbona kimya sasa jamani
Kiukweli sina imani...
Position: Teachers
Qualifications
Prior teaching experience of Cambridge Curriculum (English First Language).
Experience in Cambridge Assessment International Education (CAIE)
Specialized training in teaching secondary school Checkpoint, IGCSE and AS/A -LEVEL
At least five years of teaching...
1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?
Pia
2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs
3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au...
a maelekezo mpigieni huyo jamaa atawaelekeza coz it's one of those wanaofanyisha interview 0752153535
All the best for all job seekers.
Kindly share for others too.
Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
Habari Wana jukwaa hope wote ni wazima, Mimi ni member mpya wa Jf pia ni moja ya mwanafunzi katika moja ya chuo kikuu apa kwetu TANZANIA.
Lengo la Uzi huu nilipenda kutoa ushaur na mawazo Yangu kwa serikali yangu ya Tanzania, kuanza kutoa ajiri za walimu kwa mkataba yaani iwe iv;
📌📌📌Mwalimu...
Ndugu zanguni nimekosa ajira tena!
Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi!
Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25!
Serikali kweli walikaa...
Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikuwa this time lazima alambe ajira.
Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
Habari za leo wakuu. Kwa wale wenye diploma za ualimu tunaoomba nafasi za ajira tamisemi kwenye kipengele cha NACTE reg number tunajaza namba gani naona kwangu inagoma.
Kuna namba iko kwenye cheti cha chuo ila nikiweka haikubali niweke nta level pia niattach cheti.
Wakuu Wasalaam,
Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa.
Sijajua nakiweka katika section.
Msaada please
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.