ajira za ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mchakato wa ajira za ualimu utachukua muda gani mpaka ajira kutangazwa?

    Wakuu kwema. Jana nimeona itv wameandika kuhusu mchakato wa ajira za ualimu, wakimnukuu naibu tamisemi. Kwamba hio ni baada ya madarasa kukukamilika sasa ni muda wa kujenga matundu ya vyoo na mchakato wa ajira kuanza. Sasa ningependa kujua inaweza ikachukua muda gani mpaka mchakato huo...
  2. Mtu mmoja kaajiriwa mara mbili ajira za ualimu

    Sio kila anayekosa nafasi kwamba hana vigezo muda mwingine kuna chagizwa na mambo kama haya
  3. Baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza kwenye ajira za ualimu 2021

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza wizara ya Tamisemi chini ya waziri ummy, katibu mkuu na wote waliohusika kwenye mchakato mzima wa uchambuzi na utoaji ajira Ofcourse wanastahili kupewa pongezi kwa kazi nzuri waliyofanya kwani kwa asilimia kubwa wametenda haki kwa waombaji hasa kwa kutoa kipaumbele...
  4. Ajira za ualimu: serikali ije na majibu ya kueleweka juu ya walimu wangapi wa shahada 'degree' iliowaajiri

    Miongoni mwa mambo yanayotakiwa kutupiwa jicho ni ubaguzi uliopo kwenye utoaji wa ajira kwa kada mbali mbali ikiwemo ualimu Serikali ya awamu ya tano chini ya utawala wa hayati Magufuli imekuwa ikitoa ajira za ualimu kwa upendeleo na ubaguzi bila kuzingatia usawa na elimu za waombaji...
  5. N

    Napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila (password)

    Habari wakuu, Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za ualimu, napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila ya kuingilia (password). Nimejaribu mara kadhaa kubadili inaleta ujumbe "Failed to change password" naombeni msaada namna ya kulitatua hilo. Pia na wengine wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…