Unakuta kuna uhaba wa ajira sekta fulani mfano uhandisi, ualimi, udaktari na sekta mbali mbali.
Lakini kuna watu wengi ambao wapo katika hizo fani na wengine wanafanya kazi ambazo hata haziwapi uzoefu au kuongeza maarifa kwa walichosomea/ taaluma yao. Kwa sababu mbali mbali moja wapo ikiwemo...
Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda.
Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
Tanzania inazidi kuongezeka hasa Kwa idadi ya watu tulikuwa ml 60 kwa Sasa Kwa takwimu zisizo rasmi tunaenda kufika ml 67 hivyo tunazidi kuongezeka Kwa idadi ya watu ndani.
Nchi yenye watu wengi duniani ni china na Kwa afrika ni nigeria.hizo nchi mbili tunaweza tumia kama mifano ya kutuimarisha...
Kampuni HOPE HOLDINGS ambayo inaendesha biashara mbalimbali katika Jiji la Dar es salaam kama vile Mgahawa wa Papparoti, Super Market maarufu ya kuuza mazulia iitwayo Amal Carperts Mlimani City na Maduka ya FLO, Bottega Verde, Flormar, Skechers, Defacto na LC Waikiki, imetangaza nafasi za ajira...
Habari wanaJF, Natanguliza shukrani.
Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C, KISWAHILI: B, ENGLISH: C, LITERATURE: C, CHEMISTRY: C, BIOLOGY: B, MATHEMATICS: D, PHYSICS: D).
Alipangiwa...
inasikitisha sana, ina uma sana, na kwakweli inatia huruma na kukatisha tamaa mno, lakini daima usichoke wala kukata tamaa.
kumbe ni hali halisi ya maisha na ukosefu wa ajira, ndio inawachochea na kuwavutia kujiingiza katika hali hizo za fedhaha na aibu kubwa kiasi hicho.
pole sana rafiki...
Position: Video Animator and Editor
Organization: JamiiForums
Location: Dar es Salaam
About us
Jamii Forums is a Tanzanian Non-Governmental Organization that advocates for and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance.
Jamii Forums...
Mfumo wa Ajira Nchini kwetu umeshindikana kabisa hasa kwa tusio na Koneksheni kabisaa!
Mfano: nimewahi kuitwa kwenye interview nyingi tu za serikalini ila zote zinafanywa kwa ushahidi tu ili wale wasahili walipwe kwa kupoteza muda wetu.
Viongozi wanakazia eti vijana mjiajiri wanasahau kama...
VIJANA ACHENI MAISHA YA GHARAMA KUBWA MKIPATA FURSA ZA AJIRA: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasihi vijana wenye taaluma za Kihandisi kujipanga, kuwa na subira pamoja na utayari wa kujitoa, sambamba na kuacha kuishi maisha ya gharama kubwa na yenye tamaa mara tu wapatapo...
Kuna taasisi imetangaza nafasi ya ajira ssalary scale yao ni PTSS 10.1. sasa nataka kufahamu ni sh ngapi kabla sjaachia hii job niliyonayo isjekuwa hakuna utofauti na hapa nilipo msaada tafadhali
Position: Content Manager/Moderator (7)
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Organization: JamiiForums
About Us:
JamiiForums is a Non-Governmental Organization in Dar es Salaam, Tanzania, dedicated to promoting civil and digital rights, social justice, accountability, democracy, and good...
Maono ya Kibunifu kwa Kozi za Mtandaoni kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo
Utangulizi
Katika ulimwengu wa sasa unaoendeshwa na teknolojia, elimu ya mtandaoni imekuwa njia muhimu ya kuwapatia watu ujuzi na maarifa. Hata hivyo, Tanzania bado inakabiliwa na changamoto katika kutambua na kukubali...
Hello members,
Habari hizi ni kwa mujibu wa Hill kuku, wametangaza nafasi za kazi. Madereza wa delivery wa pikipiki na madereva wa Hill defender.
Kama unahitaji ajira hizi fika ofisini kwao Mapinga Bagamoyo au Ukuni Bagamoyo.
Utangulizi:
Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. Takwimu zinaonyesha hali mbaya: zaidi...
SERIKALI ISISUBIRI MATUKIO NDIO ITOE AJIRA
Serikali yetu imekuwa itumia ajira kutuliza matukio ya kisiasa, kiuchumi, au majanga yanayotokea hapa nchini. Ili kuwa na utawala bora Kuna haja ya kuwa na mipango mizuri katika utoaji wa ajira hizi kwa vijana wa nchi hii, leo hii ajira ndio zimekuwa...
Wakuu habari za Leo.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, ni kijana wa kiume , ninapatakana Dar es salaam.
Naomba kazi, kibarua cha aina yoyote cha mkataba, cha day Yani kazi yoyote Ile, kwa malipo yoyote Yale ya halali natanguliza shukurani wakuu.
Nafasi Ya Ujuzi Wa Kidijitali Katika Kuziba Pengo La Ajira Nchini Tanzania
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ukuaji wa ajabu katika uchumi wake wa kidijitali, na hivyo kusukuma mahitaji ya wafanyakazi wenye ujuzi katika viwango vya juu visivyo na kifani. Hata hivyo, mwelekeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.