Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa, kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kamba juu ya mti siku moja baadaye Mkoani Katavi...
Mwanaume mmoja wilayani URAMBO Mkoani Tabora amemuua mke wake kwa kumchoma visu na kisha kujiua kwa kunywa sumu na kuacha ujumbe wa barua kwa familia ya mke wake. "Nilimuoa siku moja na tutakufa siku moja, mtuzike pamoja".
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Mwenyekiti wa kitongoji cha...
Bunaza Doto Manyanda (34) anadaiwa kumuua mpenzi wake, Happiness Mzalile Zakaria (23) kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali tumboni kisha naye kujiua, marehemu wote wakiwa ni Wakazi wa Charambe kwa Mbiku Wilayani Temeke, Dar es Salaam.
Tukio hilo limetokea jana Jumatano Juni 8, 2022 ambapo...
Karani wa Chama cha Msingi cha Ushirika amedaiwa kujinyonga kwa kinachoelezwa ni kukosa msaada wa kuzimwa kwa kesi yake ya ubadhirifu wa fedha za wakulima wa pamba licha ya kuhonga rushwa mara kwa mara.
Kamanda wa Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda amesema: “Alikuwa na kesi TAKUKURU, ameacha...
Mwanamke mkazi wa Kijiji cha Sibwesa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Wande Emmanuel (30), amemjeruhi mumewe, Dotto Enosi (35) kwa kumkata na panga kichwani kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kitenge.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame Hamad, alisema tukio hilo lilitokea...
Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Madirisha Kanyalu (60) amejiua kwa kujitumbukiza kwenye kisima baada ya kumuua mtoto wake Meshack Madirisha (miezi 11) pamoja na mkewe aitwaye Evodia Nyerere (27) kwa kutumia kitu chenye makali akimtuhumu mkewe kuchepuka na wanaume wengine.
Kwa mujibu wa Kaimu...
Mfanyakazi wa Benki ya DTB, Jijini Arusha, Bryson Burchad (50) mkazi wa Ngusero jijini hapa,amejinyonga hadi kufa katika chumba Cha mpangaji wake kwa kutumia Kanga ya mkewe aliyoomba kwa lengo la kwenda kuoga huku akiacha ujumbe mzito kwa mkewe.
"Mke wangu Rose nisamehe kwa uamuzi niliochukua...
POLISI mmoja mkazi wa Kangemi nchini Kenya amemuua mke wake na watu wengine watano wakiwemo majirani na waendesha bodaboda kwa kutumia bunduki aina ya AK 47 kabla ya kujiua mwenyewe kwa silaha hiyo hiyo.
---
Cop kills 6 including wife before turning gun on self in Kabete
A police officer shot...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.