ajiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. britanicca

    Biden alimwambia Obama Kidogo ajiuzulu

    Utawala bora Uuzwaji Bandari ya Washington DC Utekwaji wa wamarekani Uchumi ku fubaa Biden alikuwa sahihi kwamba muhula Mwingine hagombei Kama mwenza
  2. Mtoa Taarifa

    Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau ajiuzulu

    Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau Januari 6 ametangaza nia yake ya kujiuzulu kama kiongozi wa chama na kama Waziri Mkuu wa nchi hiyo mara tu baada ya chama chake kumchagua kiongozi wake mpya. Kwenye hotuba yake ambayo ameitoa muda mchache uliopita, Trudeau alisema kuwa "nchi hii...
  3. W

    Balozi wa Marekani Nchini Kenya ajiuzulu

    Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ametangaza kujiuzulu tarehe 13 Novemba 2024. Kulingana na taarifa aliyoitoa leo amedai kuwa ameshawasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa aliyekuwa rais wa Marekani Joe Biden na kutotaja sababu ya kujiuzulu kwake. Meg Whitman, amedumu kama balozi...
  4. Roving Journalist

    Deogratius Nsokolo ajiuzulu nafasi ya Urais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC)

    YAH: KUJIUZULU RASMI KWA RAIS WA UTPC Husika na kichwa cha habari hapo juu 12 Novemba 2024 Napenda kuwafahamisha kuwa tumepokea rasmi barua ya kujiuzulu kwa Rais wa UTPC Bw. Deogratius Nsokolo tarehe 10 Novemba, 2024. Baada ya kupata uteuzi na kupata wadhifa ambao kuendelea na kazi yake ya urais...
  5. 5523

    Askofu Mkuu wa Canterbury ajiuzulu kwa kashfa ya unyanyasaji iliyokumba Kanisa

    Askofu Mkuu wa Canterbury ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kufuatia ripoti ya kulaaniwa kuhusu mnyanyasaji mkubwa wa watoto anayehusishwa na Kanisa la Uingereza. Uchunguzi uligundua kuwa Justin Welby, 68, "angeweza na alipaswa" kuripoti unyanyasaji wa John Smyth kwa wavulana na vijana kwa...
  6. Sodoku

    Naim Qassem akataa kuongoza Hezbollah na ajiuzulu, Sheikh Ibrahim Amin naye akataa Uteuzi kuongoza Hezbollah

    Mambo yamekorogana. Wayazuni walaaniwe kabisa.
  7. M

    Fahamu watanzania 5 walioiteka ndege ya Tanzania wakitaka Nyerere ajiuzulu

    mwaka 1982 february taree 26 ipo miamba mitano ilihisi inaweza kuitikisa serikali kwa kuteka ndege ya Tanzania ATC. ndege hiyo ilikua inatoka mwanza inakuja Dar es salaam imetua saa 11 jioni, kwa kipindi hicho uwanja wa ndege wa Mwanza ulikua hauna ulinzi kwahiyo hao jamaa watano walikuwemo...
  8. figganigga

    Arsene Bucuti, Msemaji wa Vital O ajiuzulu, ni baada ya Kichapo kutonga Yanga Afrika

    Arsene Bucuti, Msemaji wa Timu ya Mpira kutoka Burundi ya Vital O, ameamua kujiuzulu. Ni baada ya Timu yake kufungwa na Timu kutoka Tanzania ya Young Africans. Amesema ametimiza ahadi yake. Kabla ya Mchezo uliochezwa Azam Complex Mkoani Dar Es Salaam, aliahidi kwamba Timu yake ya Vital O...
  9. Erythrocyte

    Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

    Hii Taarifa ina ukweli gani? Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki === Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua...
  10. Black Butterfly

    Marekani: Mkuu wa Idara ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) ajiuzulu

    U.S Mkurugenzi wa Huduma ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) Kimberly Cheatle amejiuzulu baada ya shinikizo kutoka kwa wabunge kumtaka ajiuzulu kufuatia kushindwa kudhibiti shambulio la jaribio la mauaji ya Rais wa zamani Donald Trump mnamo Julai 13, vyanzo vitatu viliiambia NBC News...
  11. mwanamwana

    Pre GE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aandika barua ya kujiuzulu Ubunge

    Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson barua ya kujiuzulu Ubunge leo Jumapili tarehe 21 Julai, 2024.
  12. Black Butterfly

    Raila Odinga apinga wanaoshinikiza Ruto ajiuzulu Urais

    Kiongozi wa Upinzani chini ya Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga amekosoa shinikizo la Waandamaji wanaotaka Rais William Ruto ajiuzulu akieleza hatua hiyo haitakuwa na mabadiliko yoyote katika Serikali. Akizungumza na Wabunge wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM)...
  13. Lady Whistledown

    Kocha wa Timu ya Taifa ya England ajiuzulu

    Gareth Southgate ametangaza rasmi kujiuzulu kwake kama meneja wa timu ya taifa ya England baada ya kuwa madarakani kwa karibu miaka minane. Southgate, ambaye alianza kazi yake mwaka 2016, ameiongoza England hadi fainali ya Euro 2024 na nusu fainali ya Kombe la Dunia la 2018. Shirikisho la...
  14. Stuxnet

    Kama Katiba ya Kenya Inaruhusu, William Rutto Ajiuzulu Tu

    Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika. Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia asome Katiba na aangalie Ibara/kifungu kinaymchomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka...
  15. Msanii

    Askofu TD Jakes ajiuzulu baada ya kashfa ya kutembea na muumini wake....

    Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake. Source: Tecnico Informatico
  16. Mateso chakubanga

    Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya Jeshi la Israel ajiuzulu

    Mkuu wa ujasusi katika jeshi la Isarel Meja jenerali Aharon Haliva amethibitisha na kukiri kufeli katika vita vinavyoendelea hasa katika kuzuia shambulio la Hamas la Oktoba 7, aidha kwa maelezo hayo Mkuu huyo wa ujasusi jeshini IDF amejiuzulu wadhifa wake huo ------- Israeli military...
  17. sonofobia

    Nape anatakiwa ajiuzulu nafasi ya uwaziri wa mawasiliano kwa kushindwa kumlinda Rais dhidi ya matusi

    Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni. Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea. Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia? Kama hakuna basi ata...
  18. B

    Afrika Kusini: Spika wa Bunge ajiuzulu kufuatia tuhuma za rushwa

    Update: Aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Kusini Nosiviwe Mapisa-Nqakula (67) amejisalimisha kwa Polisi ambapo anatarajiwa kufikishwa Mahakamani siku moja baada ya kujiuzulu Nafasi ya Uspika pamoja na Kiti cha Ubunge kutokana na tuhuma za ufisadi ......... Spika wa bunge la Afrika Kusini...
  19. Kingsmann

    Maelfu ya Waisrael waandamana kushinikiza Netanyahu ajiuzulu

    Maelfu ya Waisraeli wamekusanyika nje ya bunge jijini Jerusalem wakishinikiza Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu ajiuzulu. Aidha, waandamanaji wanataka kuitishwa uchaguzi mpya mapema, na Serikali ifikie makubaliano ya kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas tangu kuanza kwa mapigano Oktoba 7...
  20. R

    Kwa kilichotokea Zanzibar kuhusu kula hadharani Serikali ipige marufuku maafisa wa Serikali kukimbilia vyombo vya habari kutoa ufafanuzi, DPP ajiuzulu

    Napongeza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar KULAANI waliojichukilia sheria mikononi wakidai kupiga marufuku kula adharani Ningependa pia yule mtalii aliyetuzwa fedha arejeshewe fedha zake na wale waliokamatwa na polisi waachiwe huru. Wakati huo huo jeshi la polisi lifute kauli yake na DPP...
Back
Top Bottom