Poleni sana wana Mbarali,
Jana nimemfuatilia Mbunge wa Mbarali Mtega akielezea kwa huzuni kubwa jinsi Watumishi wa TANAPA walivyowatesa wananchi wa vijiji vinanvyopakana na hifadhi kwa kuwachapa na kuwavua wanawake nguo zao na kubaki uchi, kuwapiga mbuzi na mbwa kwa risasi za moto na kuwauwa...
Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw.
Nadhani ifike wakati kocha apewe malengo kwamba asipoweza kuchukua ubingwa wa ligi au walau kuifunga Yanga...
Noel le Graet (81) amechukua maamuzi hayo baada ya French ripoti kubainisha kuwa kuna "uchafu'' ndani ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) licha ya kuwa muda wa kukaa madarakani ilikuwa hadi Mwaka 2014.
Kabla ya kuchukua uamuzi huo kiongozi huyo alijiweka pembeni kwa muda wakati Serikali...
CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota.
Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009 hivyo amekuwa kiongozi mkuu wa kampuni hiyo kwa miaka 14.
Akio alikuwa Man of Year wa mwaka 2012...
Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta.
Wananchi wameona, wanaona. Mbowe wa jana siyo Mbowe wa leo ....ona, ona, ni kweli alipata maumivu. Wananchi, wana...
Wananchi hao zaidi ya elfu moja wamemtaka Rais Kais Saied kuachia ngazi kutokana na mzozo wa kisiasa na kiuchumi unaoendelea.
Wakiandamana katika Mji Mkuu wa #Tunis huku wakipata upinzani kutoka kwa Askari katika baadhi ya maeneo, wamedai licha ya kumuunga mkono kiongozi huyo lakini Serikali...
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Jenerali Rodolfo Azurin Jr, amesema anachukua uamuzi wa Kuwajibika kama Kiongozi ili kuwahimiza Maafisa wengine 1000 kujiuzulu ili kurejesha imani ya umma kwa Polisi.
Waziri wa Mambo ya Ndani Benjamin Abalos alitoa wito kwa Majenerali wote wa Polisi na Makanali...
Mmiliki wa Twitter Elon Musk ameweka Kura ya Maoni kwenye mtandao huwa akiwataka watumiaji kuamua kama aendelee kuwa Mtendaji Mkuu au aachie nafasi hiyo ambapo Asilimia 57 ya watumiaji wameunga mkono kuwa aachie nafasi hiyo.
Musk mwenye wafuasi milioni 122, alitweet: "Je, nijiuzulu kama...
1. Umeme umekuwa bidhaa adimu kwenye maeneo mengi huku kila siku kukiwa na matamko ya megawati.
2. Upatikanaji wa maji safi na salama imekuwa ni anasa maeneo mengi na hasa katika jiji la Dar es salaam.
3. Vifurushi vya intaneti vinapandishwa kadri watoa huduma wanavyojisikia ikiwa ni pamoja na...
Kitendo cha Rais wa klabu yetu pendwa ya Young Africans au yanga kutuita sisi mashabiki wake wala mihogo, ni kutudhalilisha, kutufedhehesha, kutudharau na kutuona hatuna maana.
Inauma sana kwa kweli leo hii sisi ni wakuitwa wala mihogo ambao hatufai kuchangia chochote kisa tumekula mihogo. Na...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake
Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022
Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na...
Taarifa imethibitishwa na viongozi wa dini waliofanya mazungumzo ya amani na Ibrahim Traore kiongozi aliyempindua Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba.
Damiba aliyechukua mamlaka Januari, 2022 ameenda uhamishoni nchini Togo baada ya kuhakishiwa mambo mawili, Usalama wake na kurejeshwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekoleza moto kuhusu kilio cha tozo za miamala ya kielektroniki huku kikitaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kuachia ngazi au atumbuliwe.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kutokana na suala hilo kuzidi kulalamikiwa na...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa mara ya kwanza amejitokeza hadharani kuomba msaada wa mawazo na ushauri wa namna ya kuendesha Wizara ya Kilimo.
"Ukiwa na muda tafadhali nipe mawazo yako kuhusu Kilimo na usalama wa Chakula kwa nchi za Afrika haswa hapa nyumbani kwetu Tanzania Nini kifanyike...
RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Mwinyi, leo Septemba 05, amezungumza na wanahabari kuhusiana na masuala mbalimbali ikiwemo Ripoti ya CAG ya Mwaka 2021.
RAIS MWINYI: NAANZA ZIARA ZA KUSHTUKIZA TAASISI ZA UMMA
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameahidi...
Tarek Amer aliyebakiza mwaka mmoja kumaliza utumishi wake kama Gavana wa Benki Kuu, amejuzulu leo na kuteuliwa kuwa Mshauri wa Rais wa nchi hiyo Abdel Fattah el-Sissi.
Kujiuzulu kwa Amer kunakuja wakati serikali ikiwa katika mazungumzo na Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF kwa ajili ya mkopo...
Rais Gotabaya Rajapaksa amewasilisha barua ya kujiuzulu Urais wa Nchi hiyo Spika wa Bunge, Mahinda Yapa Abeywardenena. Taarifa ya Bunge inasema wasilisho limefanya kupitia Baruapepe
Inadaiwa ametuma Barua hiyo baada ya kuwasili Singapore. Taifa hilo limesema Rajapaska ameruhusiwa kuingia kwa...
Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza rasmi kujiuzulu
Bwana Johnson amesema alijaribu kuendelea kuwa madarakani na inamuuma kuona hataweza kumalizia mipango yake aliyojiwekea.
Boris Johnson amesema kuwa inamuuma kupoteza kazi bora kabisa katika Dunia
Boris Johnson...
Boris Johnson waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukalia kuti kavu kwa masaa 24 yalopita hatimae leo mchana atatangaza kujiuzulu baada ya mawaziri 55 kujiuzulu nafasi zao na serikali kushindwa kujiendesha.
===
Serikali ya Waziri mkuu wa Uingereza amezama katika mzozo ambao athari zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.