Aliyekuwa Rais wa Seneti na Waziri wa Sheria nchini DRC, Alexis Thambwe Mwamba amekamatwa asubuhi ya leo Ijumaa tarehe 23 Oktoba 2026 nyumbani kwake katika eneo la Macampagne Ngaliema jijini Kinshasa.
Thambwe Mwamba, ambaye ni mshirika wa karibu na nguzo muhimu ya kambi ya Rais wa zamani Joseph...