Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na kuwaibia.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibushubwamu amesema kuwa mtuhumiwa huyo amekamatwa...
Nataka niongee kwa hasira kali na leo Mod naomba mnivumilie lugha yangu. Hapa bongo kuna mambo ya kikhanithi yanaendelea sana na matokeo yake wananchi tunapata shida kwa sababu ya ukhanithi wa watu wachache.
Leo Nipashe wametoa taarifa kuwa kuna mchina amekamatwa anachepusha maji ya mto ruvu...
#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa.
=====...
Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.
Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.
Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye...
Ofisi ya mtendaji wa kijiji cha Mwabagalu kata ya Nyabubinza wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu imechomwa moto alfajiri ya leo Oktoba 17, 2021 na watu wasiojulikana.
Ofisi hiyo ambayo ilikuwa ikitumiwa na mtendaji wa kijiji na sehemu nyingine ikitumika kama darasa la wanafunzi wa awali imeteketea...
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ametangaza kuwa polisi wamemkamata raia mmoja wa Tanzania akihusishwa na usafirishaji wa wahamiaji haramu 16 wa Ethiopia, na kuongeza kuwa mtuhumiwa huyo ni Yohana Adam, mkazi wa Kasumulu katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya.
Matei amesema kuwa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KOSA LA UBAKAJI NA UDHALILISHAJI
ACP Debora Magiligimba RPC Ilala
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linamshikilia Said Hassan Said, 26, Askari Magereza, Mkazi wa Ukonga kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 29...
WEDNESDAY AUGUST 18 2021
Moshi. Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Kennedy Malekea (21), mkazi wa kijiji cha Msinga wilayani Rombo kwatuhuma za kumuua mkewe Fausta Silayo (22) kwa kumchoma visu vya tumboni na mgongoni kwa madai ya kunyimwa unyumba.
Marehemu Fausta alikuwa na...
Baadhi ya watu wanashangaa Askofu Mwamakula kuwatetea CHADEMA! Wapo wanaoshauri Askofu awe anafanya mara moja moja lakini sio kila mara. Wakati wa janga la UKIMWI, tulizika ndugu zetu wengi. Lakini hatukuchoka kulia kila ndugu alipokufa eti kwa sababu tulilia misiba ya jana na juzi. CHADEMA wapo...
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shigella ameamuru daktari katika Kituo cha Afya cha Mikumi (jina tunalo) akamatwe akituhumiwa kusababisha mjamzito ajifungue akiwa kwenye pikipiki ya matairi matatu maarufu kwa jina la bajaj.
Shigella alitoa agizo hilo aliposikiliza kero za wananchi wakati wa...
Taarifa ya kukamatwa kwa Mwandishi wa habari Shagata Suleiman na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza.
.................................................
Ndugu waandishi wa Habari na Taasisi za kihabari Nchini Tanzania, nasikitika kuwataarifu kuwa, Mwandishi wa habari mwenzetu na mwanachama wa Klabu...
Kiongozi wa anayepigania kujitenga kwa kabila la Yoruba Sunday Adeyemo, al maarufu kama Sunday Igboho, amekamatwa katika nchi jirani yaBenin, wiki kadhaa baada ya kutangazwa kuwa anasakwa kwa madai ya kukusanya silaha.
Bw Igboho alikamatwa na vikosi vya uslama katika uwanja wa ndege wa mji mkuu...
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25).
Tukio hilo limetokea tarehe...
Jeshi la polisi linamshikilia mhariri wa gazeti la Tanzania Daima, A. Kibanda kwa tuhuma za uchochezi. Kibanda anashikiliwa kwenye makao makuu ya polisi jijini Dar es Salaam.
===============
UPDATES
Habari zilizonaswa sasa hivi kutoka makao makuu ya polisi Dar zinasema Mhariri wa Tz Daima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.