akaunti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mahenda255

    Nahitaji kufungua akaunti ya dollar

    Za jioni wakuu. Nahitaji kufungua akaunti ya dollar Equity Bank ila sijui gharama zao, nilikuwa nahitaji muongozo kidogo kuhusu vitu vifuatavyo. Gharama za kufungua akaunti. Makato ya mwezi. Ni muda gani inachukua mpaka kupata kadi na Kiasi cha chini cha kuanzia kuweka pesa kwenye akaunti...
  2. Youth Worker Tanzania

    Haya ndio ya kuzingatia katika akaunti zako za mitandao ya kijamii

    Wakuu Habari, Nimeona nikushirikishe wewe kijana mwenzangu ambae bado uko Chuo, Mtaani au tayari kwenye suala la Ajira. Ni muhimu kuzingatia ni kwa njia gani unaishirikisha jamii ili tu uweze kutoka sehemu moja kwenda nyingine kimaisha. Mfano mzuri, kama unatafuta kazi kwa njia ya kutuma...
  3. Influenza

    TRA yafungulia akaunti zote za Wafanyabiashara zilizokuwa zimefungwa kutokana na madeni ya kodi

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imezifungulia akaunti zote za wafanyabiashara ilizokuwa zimeshikiliwa kutokana na madeni ya kodi Hayo yamesemwa leo mjini Morogoro na Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa (TRA), Richard Kayombo, wakati akitoa mada kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri...
  4. Gamlemilwe

    Kujisajili kwenye Mfumo wa Ajira za TAMISEMI upande wa AFYA inasumbua

    Ninapata changamoto wakati wa kujisajili kwenye mfumo wa Ajira TAMISEMI ambapo nikifika hatua ya kuhakiki taarifa unatoka ujumbe wa kwamba Taarifa zangu haziendani na Taarifa za NECTA. Nimehakiki kila Taarifa ziko sahihi
  5. Sam Gidori

    Facebook yaamua kutomfungulia Tump akaunti yake

    Facebook imeamua kutofungulia akaunti ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump baada ya kufungiwa kwa kudaiwa kuchochea vurugu katika Jengo la Bunge la Marekani Januari 6 mwaka huu. Uamuzi huo unafuata baada ya Kampuni hiyo kuifungia akaunti za Trump za Facebook na Instagram kwa muda wa saa...
  6. Miss Zomboko

    Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

  7. OKW BOBAN SUNZU

    Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

    Nilifungiwa akaunti zote za bank za kampuni yangu. Nikafungiwa akaunti zote za biashara. Hata akaunti yangu binafsi ya mshahara wa ubunge ilifungwa toka mwaka 2018, nikazuiwa kupokea mshahara ambao ni haki yangu kisheria" Mhe.Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari. My Take: Natengua msamaha...
Back
Top Bottom