akiba

Tadatoshi Akiba (秋葉 忠利, Akiba Tadatoshi, born November 3, 1942 in Arakawa, Tokyo) is a Japanese mathematician and politician and served as the mayor of the city of Hiroshima, Japan from 1999 to 2011.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia Asema Serikali Imeruhusu Wananchi Walioajiriwa na Waliojiajiri Kujiwekea Akiba Katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    MHE. RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII *Amesema Tanzania mambo ni moto moto *Mhe. Makonda aishukuru NSSF kuwafikia wananchi waliojiajiri mkoani Arush *Kupitia kampeni ya Staa wa Mchezo wa NSSF...
  2. Kwanini tutumie akiba ya fedha za kigeni kununulia umeme nje na hali tunao humu ndani?

    Huwa nazungumza sana akiba ya pesa za kigeni sababu ni kitu muhimu sana kwa nchi. Nchi inatakiwa kutumia kwa busara sana pesa za kigeni. Hizo ndizo tunaagizia mafuta, madawa, kulipa madeni na mahitaji mengine muhimu. Ukisikia serikali haina pesa ujue hasa inamaanisha haina hizo reserve...
  3. S

    Jikomboe Kiuchumi Hatua #3 - Kuwa na Akiba ya Miezi 3 hadi 6 Kwa Ajili ya Dharura

    Habari wanaJF, Natuamini kuwa mnaendelea vizuri. Mungu amekuwa mwema sana sana kwangu. Nimepotea siku 2, 3 hizi (nlikuwa nahudumia jamii na kumalizia msiba wa ndugu mmoja hivi). Sasa nimerudi kuendelea na makala yetu ya kujikomboa kiuchumi. Nimejificha kwenye maktaba fulani hapa. Feni zinafanya...
  4. B

    Kuweka akiba kwa kipato cha 15000 Kila siku ambayo ni Sawa na 450,000 ni kujitesa!

    Picha linaanza una familia ya watoto wanne na kuendelea 👉Umepanga chumba na sebule 70k-100k kwa mwezi 👉Usafiri wa kazini 3000 Kila siku 👉Chakula 200k (angalau ili upate mlo standard) kwa mwezi 👉Bado umeme(10k), maji 👉Huna malupulupu Kuweka akiba kwa mtu anayeingiza 450k kwa mwezi ni kujitesa...
  5. B

    Tamida yasema ni sawa BOT kuweka akiba ya madini

    Kahama, Tanzania TANZANITE NI RASILIMALI INAYOPATIKANA TANZANIA PEKEE, HIVYO TUWEZE KUONGEZA THAMANI YAKE https://m.youtube.com/watch?v=TAir66Cw5X8 Sekta ya madini tupo nyuma katika kuongeza thamani, kwani tukikata madini kama tazanite, almasi, Vito hadi watalii wakija Tanzania wanunue madini...
  6. Akiba ya Maneno: Al Hilal na Yanga inaenda kuisha kwa droo

    Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti. Leo nitakuwa na akiba ya maneno. Mechi ya Al Hilal vs Yanga inaenda kuisha kwa sare. Kuhusu mechi ya mwisho na MC Algier, hilo ngoja niliweke kama akiba hadi siku husika. Hongereni wana...
  7. Je, kuweka akiba ni kipaji?

    Kuimba ni kipaji hata ujaribu kuforce vipi as long huna kipaji cha kuimba hata urekodi kwa Timberland na lyrics aandike Beyonce still tu utatoa boko tu. Get back to the point kuweka akiba ni kipaji sio kwa ajili ya Kila mtu ndio maana formal sector walikaa chini na kuumiza vichwa namna watakayo...
  8. Hakika wema ni akiba

    Heri ya mwaka mpya wanaJf.Ninaimani mmeupoea mwaka salama ninyi na wapendwa wenu salama.Kwa upande wangu ninamshukuru Mungu kwani amenichagua tena na si kwa kupenda kwangu bali ni katika mapenzi yake amenichagua. Wacha niende mojakwamoja kwa kile kilichonifanya nilete uzi.Mwaka 2023 mwishoni...
  9. Matendo mema ni akiba yako(wema hauozi)

    Wema hauozi ,matendo mema ni akiba yako mbinguni na duniani. Uzuri wa mtu upo katika matendo yake mema. Mikono inayosaidia watu ni bora kuliko midomo inayosali bila matendo. Imani bila ya kuwa na matendo mema imekufa. Ni heri kutoa kuliko kupokea.. Mikono inayotoa kusaidia wahitaji...
  10. Nasema hivi, kama upo nafasi unapata maslahi ya kukutosheleza wewe, familia na akiba yako, basi ishikilie, maana kwa hali hii wewe ni special

    Acha majivuno ndugu, acha umwamba, acha "usimba", sio wewe, ni hio bahati pekee ya mafanikio, kuwa grateful sio kwa aliekupa mchongo tu hata kwa sisi tunaojipitisha tu maana njaa zetu zikikupata hata ghafla utageuka chizi. Mfundishe mkeo asiwadharau wake za wengine kisa wamesuka njia moja ya...
  11. M

    Unatumia njia gani kujiwekea akiba ya kipesa?

    Hili jambo nalifahamu sana , kwenye maisha kuwa na akiba ni muhimu Sana kwani akiba ndiyo itakusaidia wakati wa shida na ndiyo itakayokubeba wakati wa shida. Kwa sisi wakristo Biblia inatwambia ni heri ya mdudu chungu aliyejiwekea akiba ,so akiba is inevitable. Kibiblia saving ni lazima na...
  12. Weka 20% (1/5) ya mapato yako yote kama akiba, weka akiba kwanza kabla ya kutumia kila kipato unachokipata

    Baada ya kutoa fungu la kumi yaani 1/10 (10%) ya mapato yako na sadaka kwa wamuaminio Mwenyezi Mungu na agizo lake Hilo kuhusu baraka za kiuchumi kinachofuata ni kuweka 1/5 ya kipato chako kama akiba kwa ajili ya hii itakusaidia 1.kukabiliana na dharura pamoja na wakati ujao usio dhahiri...
  13. Inakuwaje France ina akiba ya dhahabu tani 2436 bila kuwa na mgodi wakati nchi kama Senegal haina akiba angali kuwa na migodi 860.

    Najua wengi wenu mtakuja na majibu ya wazungu ni wezi mara mabeberu wanaonea Waafrika. Ila mnasahau adui na mwizi wenu namba moja ni yule aliyeko pembeni yako na licha ya kukuibia bado anakutoza kodi ya kidogo kilichobakia. Hata kama wazungu ni wezi wa rasilimali zetu unafikiri ni nani ana...
  14. Weka akiba!! Uzee ni wako pia

    Waswahili wanasema akiba haiozi basi kupitia kitabu cha Richest Man in Bablion anasema. “Hakikisha una kipato kwaajili ya siku zijazo. Waangalie wazee na kumbuka kuwa siku zijazo nawe utakuwa mzee." Chukua hatua!!!
  15. J

    Kuweka akiba ni tabia au uwezo wa kipato?

    Kuweka akiba ya fedha kumeongezeka umaarufu katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na sababu kama ongezeko la gharama za maisha, maendeleo ya huduma za kifedha, elimu ya fedha, upatikanaji wa habari na mengine. Hata hivyo, kwa mtazamo wa mazingira yetu, wengi wanaona kuweka akiba kuwa...
  16. Serikali imewataka wananchi kufanya maamuzi mazuri ya matumizi ya kifedha kulingana na malengo waliyojiwekea, ikiwemo kuweka akiba

    ELIMU YA FEDHA: KUIBUA MABADILIKO YA KIFEDHA KIGOMA Na Chedaiwe Msuya,WF, Kigoma Serikali imewataka wananchi kufanya maamuzi mazuri ya matumizi ya kifedha kulingana na malengo waliyojiwekea, ikiwemo kuweka akiba, kupanga matumizi, na kudhibiti deni, ili kuepuka changamoto za kifedha...
  17. M

    Tumia pesa zako vizuri, kumbuka unavyokuwaga kama mgonjwa ukiwa huna pesa

    Unaweza kuona kama umechanganyikiwa au huna akili lakini ndo hivyo🤣😂 kama Mimi naweza kufunga madirisha na mlango nikakaa ndani kimyaa, Sasa huo sio afya ya akili kweli😆 Sina ata mia mbovu mfukoni walaah. Niwatakie Jumapili njema kwakweli mniache kwanza.
  18. Kujenga Utajiri kupitia Ardhi na Akiba

    Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye mwendelezo wa masomo ya NJIA KUMI ZA KUJENGA UTAJIRI kutoka kitabu kinachoitwa THE TEN ROADS TO RICHES kilichoandikwa na Ken Fisher. Kwenye masomo yaliyopita tumejifunza njia nane kati ya 10 za kujenga utajiri. Kwenye somo hili tunakwenda kujifunza njia ya...
  19. SoC04 Tanzania tuitakayo ni ile ambayo wananchi wake wanautaratibu wa kujiwekea akiba

    UTANGULIZI - Tanzania tuitakayo ni ile ambayo wananchi wake wana utaratibu mzuri wa kujiwekea akiba. Akiba ni muhimu sana katika ustawi wa kibinafsi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi. Kwa hiyo, kuwa na utamaduni wa kujiwekea akiba kunaweza kusaidia katika kujenga mifumo imara ya kifedha kwa...
  20. Akiba yako kiasi gani na imekaa muda gani?

    Samahanini sana Nina swali mimi watu kibao wanaonishauri mambo ya fedha wananikumbusha kujiwekea akiba kwa ajili ya dharura na wanajinasibu kabisa wao wanaweka akiba ipo imetulia sehemu. Huwa najiuliza mbona vipindi vingi hata wao hulia knock je kweli uwe na akiba na ujibane usitumie uishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…