akiba

Tadatoshi Akiba (秋葉 忠利, Akiba Tadatoshi, born November 3, 1942 in Arakawa, Tokyo) is a Japanese mathematician and politician and served as the mayor of the city of Hiroshima, Japan from 1999 to 2011.

View More On Wikipedia.org
  1. technically

    Tuna akiba ya pesa dollar bilion 5.3

    Za kuweza kuendesha serikali kwa miezi 6 bila kukusanya kodi hata nchi ikiwa na janga au vita Mkuu alinukuliwa zaidi ya mala 5 akisisitiza. Yeye yupo anachangiwa na wakina Rostam,* Anachangiwa na wachina, anachangiwa na walahoi wa bongo, anaomba mkopo IMF wa 190+US dollar million. Kumbe...
  2. M

    Kuvuka million kama Akiba ni changamoto sana

    Nipo katika mazingira ya kupata hela kila siku ili mradi natoka kufanya kazi zangu za kila siku, kipato changu kwa siku hakipungui 30000 ikiwa na maana hapo nishakula na mahitaji yangu ya lazima ya siku kama vocha/soft drinks/ nk. Ila kuweka akiba imekuwa ni shida sana kwani naweza kujibana...
  3. Suley2019

    Kiongozi wa chama wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kupanda kwa bei ya mahindi ni kwa sababu serikali hainunui chakula cha akiba

    Zitto alisema Rais John Magufuli ameongelea bei ya unga kupanda yupo sahihi kwa wakulima wanapaswa kupata bei nzuri ya mazao na serikali haipaswi kuingilia. “Amejifunza makosa ya korosho? Lakini sababu za bei kwa walaji kupanda ni serikali kutonunua chakula cha akiba Zitto aliandika ujumbe huo...
  4. T

    Tunaosifu tukumbuke kuweka akiba yajayo yanafurahisha

    Nikiwa mmoja wa watu navutiwa na kazi ya Rais naomba wale wote tuna mapenzi mema na taifa basi tusisifu sana tukasahau kuweka akiba ya maneno. Taifa letu ni muhimu sana na umoja wetu kuliko yale yote yanaendelea. Kama Watanzania tujivike ujasiri kumsifu Rais na kumkosoa ila sio kwa lugha...
  5. beth

    Njia rahisi ya kupata mtaji

    Changamoto kubwa ya watu wengi katika kuanzisha biashara ni mtaji. Kuanza biashara kuna mambo mengi sana, kuna kufanikiwa na kushindwa hivyo kuchukua mkopo banki wakati ndio unaanza biashara sio busara hii ni kwa sababu unashauriwa kuwa kabla haujaweka fedha zako kwenye biashara yeyote ile ni...
Back
Top Bottom