Tadatoshi Akiba (秋葉 忠利, Akiba Tadatoshi, born November 3, 1942 in Arakawa, Tokyo) is a Japanese mathematician and politician and served as the mayor of the city of Hiroshima, Japan from 1999 to 2011.
Iramba, Singida.
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amefanikisha askari 85 wa Jeshi la akiba waliohitimu mafunzo yao kupata ajira SUMAJKT. Mhe Mwenda ameeleza hayo Jumatatu Novemba 15, 2021 wakati akifunga mafunzo ya askari wa Jeshi la akiba katika viwanja vya...
Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa $1.5BL sasa imefikia $6.253BL toka $4.8b mwezi March 2021
| Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu au kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi 7,
===
Namba hazijawahi kudanganya na...
Hizi ndizo sababu kuu tatu za kuweka akiba
Dharura. Tunaweka akiba kwa sababu tunajua kuna dharura itatokea na utahitajika kuwa na akiba, dharura sio kwamba hazijulikani hapana, usichojua ni itakuja lini na kwa kiwango gani. Kuna watu wakipata dharura na wana akiba awaitumii eti kwa sababu ni...
Rejea katika historia
Hii ni kinyume kidogo Na utaratibu tuliozoea kusikia au kushauriwa na wataalamu Wa kiuchumi au wahamasishaji,motivational speakers. Dhana ya kuweka akiba imekuwa ikielezwa katika misingi ya vitu mbalimbali Na ikipata mashiko kutoka kwenye biblia Na vitabu vingine.
Ingawa...
Habari ndugu!
Imekuwepo changamoto kubwa kwa watu kupata pesa toshelevu kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao za maendeleo. Hii inatokana na ugumu wa maisha unaozikumba familia nyingi hivyo kila kiasi kidogo kinachopatikana kinaishia katika manunuzi ya maitaji ya muhimu kama chakula na kulipa...
Habari wadau wa mtandao wa JF na karibu kupata chakula cha ubongo na mada ni kuhusu tabia za kujiwekea akiba.
Changamoto ya watu wengi kushindwa kujiwekea akiba, imekuwa ikiwakumba watu wengi hasa kwa wale ambao ni waajiriwa katika sekta binafsi na sekta za umma. Baadhi ya sababu ambazo watu...
Mara nyingi ni vyepesi kusikia watu wakilalamika kuwa nafanya kazi lakini pesa siioni, Nafanya biashara lakini sioni faida.
Moja ya tatizo kubwa ni kuwa watu wengi hatuna taratibu za kupanga Bajeti na kuweka Akiba. Leo Tujifunze juu ya Akiba.
Akiba ni kiasi cha fedha au kitu kinachowekwa kwa...
Msiba wa Imam na mwanazuoni mkubwa mwenyezi Mungu amlipe kheri.
--------
Bismillahi rahmani Rahim.
Ratiba ya mazishi ya marhum Sheikh Ahmad Haidary Mwinyimvua
Kesho tarahe 20/01/2021 Shughuli za maziko zitaanzia Mwananyamala B Mtaa wa Berege karibu kabisa na shule ya msingi ya Mwananyamala B...
Shehe Kushk wa Jumuiya ya Temeke amesema kwa mujibu wa Qur'an tukufu Kiongozi wa kutawala duniani anapaswa kuwa na sifa kuu tatu, ambazo ni:
1.Mtu wa Amani
2. Mtu mwenye Afya njema
3. Mtu mwenye akiba ya Chakula
Kiongozi wa ngazi yoyote anapaswa kuwa na sifa kuu hizo tatu ili aweze...
Habari za uzima ndugu zangu.
Naomba mkipata muda mtaniambia ni hoja ipi kati ya zifuatazo inaukweli ndani yake :
1.Inasemekana wanawake wengi wamepewa uwezo mkubwa na Mungu wa kutunza fedha kuliko wanaume ,
2.Hali ngumu za kimaisha zimewafanya watu wengi wasiabudu
3.Inasemekana kwamba...
Hata iweje maisha yataendelea baada uchaguzi kumalizika na bila kujali matokeo ya Uchaguzi yatakuwaje.
Wadau wote wa uchaguzi, yaani Wanasiasa, wagombea, ofisi ya msajili, Tume ya Uchaguzi, Askari, wasimamizi wa uchaguzi, wahesabu kura, mawakala na wapigakura tukumbuke muda wote kuweka akiba ya...
Nimeona sio mbaya kuingia kwa JF kupata information zaidi sababu kuna watu wana knowledge nyingi sana na mbalimbali hapa.
Katika saiti yangu moja ya kazi, kuna nyumba za wafanyakazi. Kijana mmoja mwangalizi mkuu wa saiti hio, amekuwa akitunza hela kwenye ndoo sababu wazazi wake walipitia tatizo...
Sudan Kusini imeishiwa na akiba ya fedha za kigeni na haiwezi tena kumaliza kushuka kwa thamani ya Pauni ya Sudan Kusini, afisa mkuu wa benki kuu alisema Jumatano.
Daniel Kech Pouch, gavana wa pili wa benki hiyo, aliambia mkutano wa habari kwamba mapato ya mafuta ya nchi yamepungua, ikigonga...
Habari wanaJF,
Hali ya uchumi imekuwa ngumu kwa watanzania wengi. Naamini ili kupata maendeleo njia mojawapo n kujenga tabia ya kuweka akiba.
Hivyo nakaribisha mawazo tuweze kupata elimu/njia mbalimbali ambazo zinaweza kusaidia tufundisha namna ya kuweka akiba kwa matumizi ya baadae.
Ukiufahamu vizuri wakati ujao utaelewa namna ya kuutumia wakati wako wa sasa kwa sababu wakati hupita kupisha wakati mwingine huku ukiacha alama.
Maisha yako ya baadae kwa zaidi ya asilimia 80% yatandeshwa na kile ulichohifadhi baada ya kutumia na siyo kile ulichopata katika wakati ukiwa na...
USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za...
Ni ukweli usiopingika kabisa kuwa kama kuna Matunda matamu lakini ni Magumu kuyala kama usipokuwa Imara ni ' Maembe ' ya kutoka Mkoani Mtwara. Ila pia hakuna Mkoa ambao una Mawe magumu na hatari tena yaliyo na Ncha Kali ambayo inaweza Kufanya Embe la Mtwara ' limenyeke ' lenyewe Kiulaini kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.