akili bandia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗠𝘁𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗮𝗹𝗶𝘆𝗲𝘂𝗻𝗱𝗮 𝗮𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗯𝗮𝗻𝗱𝗶𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘆𝗼𝘄𝗮𝘀𝗮𝗱𝗶𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝘄𝗮𝘀𝗶𝗼𝗼𝗻𝗮

    𝗠𝘁𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗮𝗹𝗶𝘆𝗲𝘂𝗻𝗱𝗮 𝗮𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗯𝗮𝗻𝗱𝗶𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘆𝗼𝘄𝗮𝘀𝗮𝗱𝗶𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝘄𝗮𝘀𝗶𝗼𝗼𝗻𝗮 Hakika Tanzania tunaendelea kuwa imara kwenye sekta ya Teknolojia Kila siku zinavyozidi kwenda vijana wengi wanaibuka na kuonyesha ushindani kwenye masoko ya Dunia. Kutana na mtanzania aliyeunda Teknolojia ya akili bandia inaitwa...
  2. and 100 others

    Ubunifu wa Picha na Videos kwa AI: Shiriki na Tazama Kazi za Kisanii za Akili Bandia!

    Karibu kwenye mada hii maalum kwa wapenzi wa teknolojia na ubunifu! 🌟 Katika zama hizi za akili bandia (AI), tunaweza kutengeneza picha za kuvutia kwa kutumia teknolojia ya AI. Katika mjadala huu, tunakaribisha: ✅ Kushiriki picha/video zilizotengenezwa na AI. ✅ Kujadili uwezo wa AI katika...
  3. L

    Uzinduzi wa DeepSeek ya bure ni kama mapinduzi ya kuleta manufaa kwa wote kwenye sekta ya akili bandia duniani

    Februari 10 hadi 11, Mkutano wa Kilele wa Hatua za Akili Bandia (AI) ulifanyika mjini Paris, Ufaransa, huku program ya akili bandia ya China DeepSeek toleo la bure inayovutia macho ya dunia nzima ikipelekea nchi mbalimbali kutambua tena uwezo wa uvumbuzi wa China na kuitumia China kuendelea...
  4. BB_DANGOTE

    Kazi zinazoenda kupotezwa kabisa na akili bandia (Artificial Intelligence) soon

    Habar za saiz wakubwa.. Akili bandia (kwa Kiingereza: Artificial Intelligence, AI) ni teknolojia inayohusisha utengenezaji wa mashine au mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kufanya kazi ambazo kwa kawaida zinahitaji akili ya binadamu. Hii ni pamoja na kujifunza (machine learning), kufanya...
  5. H

    Jinsi Akili Bandia Inavyoweza Kuchochea maendeleo ya Kasi Barani Afrika

    Fikiria ulimwengu ambao mkulima nchini Tanzania au Uganda anabashiri wakati mwafaka wa kupanda mazao yake, mwanafunzi nchini Kenya anapata elimu bora kupitia simu yake, na hospitali nchini Nigeria au Rwanda zinagundua wagonjwa haraka na kwa usahihi zaidi, yote haya shukrani kwa akili bandia...
  6. TODAYS

    Yule Robot wa Kukuliwaza Kaongezewa Akili, Ukimzingua Akupi Menu Ipasavyo

    Huyu ni robot maarufu sana duniani, bila shaka unamfaham sababu yeye yupo kwa ajili ya kukuliwaza kingono ili akili yako itulie, uwapo naye ni unajipimia unavyotaka hakuna siku atanuna au kuingia in 28 days 🙆🏾‍♂️. Huyu 'dada robot' anaitwa Samantha sasa atakuwa na emotional mpya kwenye akili...
  7. M

    SoC04 Mchango wa matumizi ya akili bandia kwa maendeleo ya Tanzania

    Akili bandia ni uwezo wa kompyuta au mashine kufikiri na kufanya maamuzi kama binadamu. Teknolojia hii inajumuisha uwezo wa programu za kompyuta kujifunza na kuboresha utendaji wao kwa muda. Akili bandia inategemea data na algoritms za kompyuta ili kufanya maamuzi kwa kutumia mantiki na...
  8. L

    Licha ya fursa inayotokana na teknolojia ya Akili Bandia watu wengi wanaichukulia kama tishio kwa ajira zao

    Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo inavyoonekana kwamba matumizi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) yanashika kasi sana duniani. Maendeleo haya ya haraka yameanza kubadilisha sekta nzima ya teknolojia na kuonesha uwezo wa kugusa nyanja nyingi za maisha ya kisasa. Kwa sasa inaonekana...
  9. A

    SoC04 Akili mnemba katika tiba (artificial intelligence in medicine)

    AKILI MNEMBA KATIKA TIBA (ARTIFICIAL INTELLIGENCE IN MEDICINE) Katika kijiji kidogo cha Mwandani, kulikuwa na hospitali moja tu ambayo ilihudumia wakazi wa eneo hilo. Daktari mkuu wa hospitali, Dkt. Kisope, alikuwa mtaalamu mwenye uzoefu lakini alikabiliwa na changamoto...
  10. L

    Je Marekani itabadili mtazamo wake baada ya mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu akili bandia kati ya Marekani na China

    Matumizi ya Akili Bandia (AI) yanatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani katika siku za usoni. Ushindani wa matumizi haya ya teknolojia umeifanya Marekani ianze kudhibiti mauzo ya nje kwenye chip za hali ya juu, na kuiondolea uwezo China wa kupata chip za hali ya juu...
  11. I

    SoC04 Tanzania Tuitakayo Katika Mapinduzi ya Nne ya Viwanda (Akili Bandia)

    Historia ya Mapinduzi ya Viwanda Tangu karne ya 18 hadi sasa, dunia imepitia vipindi vinne muhimu vya mapinduzi ya viwanda. Kila kipindi kimekuja na teknolojia mpya na bunifu katika kila sekta, teknolojia hizo zimekuwa na tija katika uzalishaji na pia zimeambatana na changamoto mbalimbali...
  12. L

    Akili Mnemba haipaswi kuwa chombo kipya kwa Marekani kuchochea "mashindano ya mataifa makubwa" barani Afrika

    "Mustakabali wa akili bandia barani Afrika ni upi?" Wakati swali hili linaingizwa kwenye majukwaa kadhaa ya akili bandia mitandaoni, jibu lake huwa ni: "mustakabali wa akili bandia barani Afrika umejaa fursa… utaonesha nafasi muhimu katika sekta mbalimbali kama vile huduma za afya, kilimo na...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence)

    Habari wanajamii forums, Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence). Hivyo kwa wanaopenda kufanya tafiti katika eneo la matumizi ya akili bandia kwenye mambo ya sayansi na uhandisi karibuni...
  14. Mturutumbi255

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika Nyanja ya Akili Bandia

    Leo tunakutana hapa kujadili mustakabali wa nchi yetu katika ulimwengu wa teknolojia, hususan Teknolojia ya Akili Bandia (AI). Teknolojia hii ina uwezo wa kubadilisha maisha yetu kwa kiwango kikubwa ndani ya miaka 5 hadi 25 ijayo. Lakini kwanza, tuanze kwa kuelewa akili bandia ni nini...
  15. D

    SoC04 Matumizi ya Akili Bandia katika Sekta ya Afya ya Tanzania

    Karatasi ya Dhana(Concept paper): Matumizi ya Akili Bandia katika Sekta ya Afya ya Tanzania 1. Utangulizi Sekta ya afya nchini Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na upatikanaji mdogo wa huduma za afya bora, rasilimali chache za matibabu, na upungufu wa wataalamu wa...
  16. Joshua Panther

    Onyo la Elon Musk: AI (Artificial Intelligence) Akili mnemba inaweza kufanya kazi za binadamu kuwa za kizamani

    Elon Musk anasema akili ya bandia itachukua kazi zetu zote na hilo sio jambo baya. "Labda hakuna hata mmoja wetu atakayekuwa na kazi," Musk alisema kuhusu AI kwenye mkutano wa teknolojia mnamo Alhamisi. Wakati akizungumza kwa mbali kupitia kamera ya wavuti huko VivaTech 2024 huko Paris, Musk...
  17. B

    SoC04 Kuwekeza kwenye Teknolojia kwa kutumia vyuo vyetu kuyasogelea kwa Karibu Mapinduzi ya Nne ya Viwanda

    Tanzania kama tunavyojiita kuwa ni moja ya Nchi zinazoendelea, hatuwezi kukwepa kujiingiza moja kwa moja kwenye MAPINDUZI YA NNE ya viwanda. Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, ni mapinduzi makubwa ya kiteknolojia ambayo yanaendelea hivi sasa, na yana athari kubwa kwa biashara na jamii kote...
  18. L

    SoC04 Mapinduzi ya Teknolojia ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence) katika kilimo nchini Tanzania

    UTANGULIZI Kuelekea Tanzania tuitakayo, Sekta ya Kilimo nchini Tanzania ni fursa kubwa ya kukuza Uchumi wa nchi, kupunguza umasikini kwa kuboresha maisha ya watu. Sekta hii inachangia kwa 23% katika pato la Taifa, na ndiyo sekta iliyoajiri watanzania wengi takribani 65.5% ukilinganisha na sekta...
  19. kilio

    Je tasnia ya habari imejiandaa na Program za Akili Bandia (Generative Artificial Intelligence) zenye uwezo wa kutengeneza Fake News and Misinformation

    Tumeshuhudia siku za karibu waziri Dorothy Gwajima akitoa tamko juu ya maudhui ya mwanadada anayeishi na nyoka. Huu ni mwanzo tu, mengi yanakuja kupitia programu za akili bandia. Program hizi zina uwezo wa kutengeneza fake picha, fake video and fake sauti ili mradi kuleta utata na upotoshaji...
  20. L

    Wakati hofu kuhusu akili bandia ikitanda Afrika, China na Afrika zinaweza kufanya nini pamoja?

    Kutoka kilimo hadi matibabu, akili bandia inabadilisha kila nyanja ya maisha ya binadamu. Hata hivyo, barani Afrika, watu wana maoni tofauti kuhusu akili bandia, na hata hofu ni kubwa zaidi kuliko matarajio. Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti uliofanywa na Mfuko wa Lloyd’s Register ambao makao...
Back
Top Bottom