akili bandia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kilio

    SoC04 Mapambano dhidi ya taarifa chonganishi "Misinformation" zinazotokana na programu za akili bandia “generative artificiai intellegence (Gen AI)"

    Tusipo jiandaa mapema, Watanzania wanaweza wakatumbukia kwenye dimbwi kubwa la migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa matukio yenye uhusiano na magonjwa ya akili. Hii ni kutokana na madhara yatakayosababishwa na program za Akili Bandia zenye uwezo wa kutengeneza...
  2. snipa

    Kampuni ya Microsoft yamuajili Sam Altman Kuongeza Juhudi katika Akili Bandia

    Baada ya CEO wa open AI Sam Altman kufukuzwa kazi katika Kampuni ya Open AI Microsoft imempa ajira mpya bosi huyo wa zaman wa Kampuni ya Open AI ili Kuongeza Juhudi katika Akili Bandia Chanzo CNN
  3. magabelab

    Matokeo ya darasa la 7 kwa kutumia aplikesheni inayotumia akili bandia (AI)

    Nenda google play kisha tafuta "Matokeo ya darasa la 7" Na furahia teknologia hii
  4. TODAYS

    Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

    Nikiwa mmoja wa wafuatiliaji wa karibu sana wa hii teknolojia ya akili bandia inayofahamika kama AI. Nimejionea kwa karibu sana jinsi mambo yanavyokuwa ya moto sana. Kwa kuanzia kidogo tu, nimeonana na mchoraji katuni aliyeamua kusoma kwa nguvu, ananunua bundle then darasa linaanza...
  5. R

    Matapeli watumia Akili Bandia kujifanya Mkuu wa Umoja wa Afrika Moussa Faki, wapiga simu kadhaa kwenda Miji Mikuu Nchi za Ulaya

    Tume ya Umoja wa Afrika imekuwa muhanga wa uhalifu wa mtandaoni baada ya matapeli kutumia akili bandia ili kumuiga mkuu wa tume hiyo Moussa Faki na kuilenga miji mikuu ya nchi za Ulaya. Huu unaweza kuwa upungufu wa kwanza wa kidiplomasia kwa teknolojia mpya. Moussa Faki ambaye ni Mwenyekiti wa...
  6. R

    Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari wa Kenya atengeneza Wakili wa kisasa mwenye ujuzi wa Sheria zote za Kenya

    Wakati Naftal Obwoni alipokuwa shuleni, baba yake aliachishwa kazi bila taarifa, jambo lililosababisha kesi iliyochukua muda mrefu dhidi ya mwajiri wake. Obwoni alishuhudia kwa macho yake mapambano ya baba yake kupata haki, na hii ilikuwa kwa sababu baba yake hakuwa na uelewa wa mfumo wa...
  7. Roving Journalist

    Tume ya TEHAMA: Mahakama za Tanzania zinatumia Akili Bandia tangu Mwaka 2022

    Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Tehama Tanzania, Kundwe Moses Mwasaga amesema Tume imeandaa Kongamano la Saba linalotarajiwa kufanyika tarehe 16-20 Oktoba 2023 Kongamano hilo litatanguliwa na mijadala, siku ya kwanza itakuwa ni Siku ya Wanawake kwenye TEHAMA, ambapo wanatarajia kusherekea...
  8. Moto wa volcano

    AI (akili bandia) haiwezi kuchukua nafasi ya utashi wa binadamu

    Wazungu wamekuwa wakipambana kuwezeshwa AI (akili bandia) itawale sehemu mbalimbali na kuondoa uhitaji wa akili au maamuzi ya binadamu katika kufanikisha au kufanya kazi mbalimbali. Kuna maeneo watafanikiwa ila sio kote, mfano haya magari ya kujiendesha yenyewe sio salama kabisa maana yapo...
Back
Top Bottom