akina nani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Wabunge akina nani walipata ajali Dodoma

    Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa? Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
  2. F

    Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

    Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
  3. Eli Cohen

    Mitandao haijafanya watu kuwa wapumbavu ila imetudhirihishia watu wapumbavu kweli ni akina nani

    Mpumbavu ndio atakae kuwa controlled na applications za simu. Mpumbavu ndie atakae weka maisha yake rehani kwa ajili ya umaarufu na kushobokewa kwenye mitandao. Mitandao imelalamikiwa sana, maybe at some liitle degreee ina athiri, maybe, lakini nafikiri mitandao imetoa nafasi ya wapumbavu...
  4. peno hasegawa

    Wakuu wa wilaya na Mkesha wa Muungano, watakesha na akina nani? Wasiwasumbue watumishi wa Umma

    Mkesha huu hapa! Utakesha na nani? Ukikesha na watumishi wa Umma, ujiandae kuwapa posho, nauli na chakula. Angalizo.
  5. Mzalendo Uchwara

    Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

    Kwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mapya ya kuanzia kuanzia miaka ya 2020s yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu. Haya magari ni mali ya nani? Polisi wanayaogopa hayasimamishwi wala kukaguliwa. Vijana wa vijiweni...
  6. R

    Wanaoiba kura tukiwa katikati ya mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni akina nani?

    Salaam, Shalom!! DINI kubwa mbili duniani, zimejikuta zikiwa katika mfungo Kwa pamoja, waislamu na wakatoliki, Mtwara katika uchaguzi wa madiwani, limetokea tukio la kukamatwa kura fake, Swali LANGU, Hawa wanaoiba kura kipindi hiki wanazo dini? Au wana dini ila Hawajafunga? Nauliza tena...
  7. Makonde plateu

    Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

    Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya...
  8. Erythrocyte

    Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

    Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate. Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini) Sasa swali letu ni hili, wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani? Jina la Rais...
  9. R

    Wabunge matajiri wafanyabiashara, wanasimamia Maslahi ya akina nani bungeni?

    Salaam,Shalom!! Zamani, mwalimu wa Shule ya msingi, alikuwa na uwezo wa kuchukua fomu na kugombea ubunge na akashinda, sasa hivi akijaribu, atakutana na kikumbo Cha tajiri au .toto wa kiongozi mkubwa serikalini na kutupwa mbali. Kuwa tajiri Kwa halali Si DHAMBI, Hilo liwekwe wazi. Na mada...
  10. Nigrastratatract nerve

    Nchimbi anawalenga akina nani anaposema wana CCM wasio na misimamo ni ndumila kuwili na hawana sifa ya kuwa wana CCM?

    Nchimbi atakuwa kiboko ya machawa na wanaccm kama akina NAPE na Makamba pamoja na kinana maana hao ni ndumilakuwili hawana msimamo wakengeefu na wenye kugeuka geuka
  11. peno hasegawa

    CCM imesahau kuwateua Makatibu wenezi CCM mikoa nchi nzima, Makonda utafanya kazi na akina nani?

    Uchaguzi mkuu wa CCM ulifanyika Oktoba 2022, ambapo makatibu wenezi wa CCM mkoa hawakuchaguliwa kipindi hicho na mwenyekiti amesahau kuwa alisema wenezi wa CCM mkoa watateuliwa. Hadi leo hawajawahi kuteuliwa, sasa Makonda utafanya kazi na nani? Kazi ya kwanza teua wenezo wa CCM mkoa ili uanze...
  12. P

    Wenye nchi waliosemwa na Msigwa hapa ndio akina nani?

    Msigwa alisema maneno hayo Julai 24 katika mkutano na waandishi wa habari ambapo yeye pamoja na Kamishna wa TANAPA walikuwa wakitoa ufafanuzi kuhusu Hifadhi za Taifa.
  13. Tajiri wa kusini

    Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

    Tafakuri Jadidi: Wazee Wa Dar Es Salaam Ni Akina Nani? - Je, Sifa Za Mzee wa Dar es Salaam Ni Zipi? Jibu: Ndugu zangu, Kuna wakati Rais wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, alipata kuongea na Wazee wa Dar es Salaam. Kwenye juzuu ya kwanza kati ya tatu ya kitabu ' The Making Of A Philosopher...
  14. Roving Journalist

    Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023 Saa 4:00 Asubuhi...
  15. Mr Q

    SWALI: "Ni akina nani" watakuwa na ujasiri wa kununua mali za Musiba hali wakijua mali hizo zilikopatikana na namna zilivyo patikana?

    Tuliangalie jambo hili kwa namna nyingine Unaweza kudhani itakuwa rahisi watu kujazana mnadani na kununua hizo mali lakini kiuhalisia unaweza shangazwa asipatikane mnunuzi kwa hofu kwamba mali hizo zilipatikana kwa namna isiyo elezeka na kuna uwezekano walio mwezesha kupata mali hizo ndio wanao...
  16. The Burning Spear

    Hawa wabadhirifu wanaolalamikiwa na Rais pamoja na Wabunge ni akina Nani?

    Napenda Kujua hawa wanaolalamikiwa ni akina Nani maana. 1. CCM wote wanalalamika. 2. Rais analalamika. 3. Mawaziri wanalalamika. 4. Wananchi wanalalamika. 5. Wabunge wote wanalalamika. Yaani Kila mtu anapiga kelele wakamatwe wakamatwe, kwani hao wezi wa Mali zetu ni wa nchi gani?
  17. Jay One

    Rais Samia alisema wajiuzulu/wapishe nafasi zao. Akina nani hao? ebu tuwataje...

    Wana JF habari zenu. Mh. Rais wetu Mama Samia, jana akiongea baada ya kupokea ripoti ya CAG Ikulu, Dar es Salaam, alisema kwa ukali sana, waliohusika na ongezeko la bei ya ndege ya mizigo ya ATCL kutoka $ 37 mil hadi $ 86 mil wajiuzulu haraka, yaani wapishe nafasi zao haraka sana. JF tuweke...
  18. SYLLOGIST!

    Sizipendi mbichi hizi! CCM 'asili' ni ipi? Ya akina nani? Je, ni CCM hiyohiyo inayotabiriwa kupasuka kama katuni ya Kipanya?

    Kiukweli sipendi kulishwa maneno, sipendi kulishwa taarifa, na sipendi Kukashifu. Sipendi kauli mbichi [Generalities] kwani huwa zinapotosha au kupotosha maana halisi iliyomo kwenye maudhui. Nimekutana na mijadala mitatu tofauti, ikimaanisha maudhui matatu tofauti, lakini kwa kauli na misemo ya...
  19. M

    Tundu Lissu ni vyema na busara kama huna uhakika Waliokushambulia ni akina nani basi Unyamaze tu

    Huko nyuma ulianza kwa Kuwatuhumu Watu wa TISS ukatuchanganya. Katikati tena ukaja kusema Ulishambuliwa na Askari wa Kukodi wa Rwanda. Hukuchelewa miaka kadhaa nyuma ukiwa Ulaya ulikokaribishwa ukawatuhumu Police Tanzania. Haya jana sijui leo nimeona Umewatuhumu Wanajeshi kwa lililokutokea...
  20. Patriot

    Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

    Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful! Kwa maoni yako endelea;
Back
Top Bottom