Wakuu kwema Aise naandika huku naogopa. Nina wadogo watatu wanaanza first year mwaka huu na walishaaply mkopo cha kishangaza awamu ya kwanza hola hakuna hata mmoja aliepata na waliandikiwa kwenye akaunti zao wasubiri mpaka leo tarehe 21 ila naona siku inaisha hakuna mabadiliko yoyote na hawa...
Gazeti la Nipashe la Agosti 17, 2022 limebeba kichwa cha habari "Miili ya Watu yaokotwa kwenye viroba"
TANGA: MIILI YA WATU YAOKOTWA IKIWA KWENYE VIROBA
Miili ya watu wawili imeokotwa ikiwa imefungiwa ndani ya mifuko ya sandarusi 'viroba' katika Kitongoji cha Dibabara, Kijiji cha Kwastemba...
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati Magufuli haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki...
Mkuu wa nchi baada ya kuona watanzania wanamashaka namna royal tour ilivyodhaminiwa aliahidi kuwataja hadharani waliochanga na namna michango ilivyochangwa.
Sasa hivi naona watanzania wameshasahaurishwa tena juu ya hili maana maridhiano yamepamba moto ili mifarakano itulie kwanza.
Lakini...
Wana JF,
Wananchi..
Hili ni swali...
Hebu tusaidiane hapa kujua kiunaga ubaga, hawa wauza mafuta Tanzania ni akina nani..
Yani wale wa jumla, na wa rejareja (hizi petrol stations)
Nalenga hasa kupata wenye hisa/ au wamiliki, na marafiki zao...
Naomba tusaidiane tujue kwa sababu, si kosa...
Naleta uzi huu baada ya kuona mwelekeo wa kuvipa majina kiholela vitu muhimu, mali ya Watanzania wote. Aghalabu majina ya wanasiasa ndiyo tu yanayotumika. Tena wanasiasa wawili au watatu tu. Aidha, mtoaji wa jina huwa hakushauriana na yeyote, licha ya kuwa hana utaalamu mkubwa katika historia ya...
Ukiona binadamu wanavyoshuhudia mahakamani kwa kuandika stori zisizo na muunganiko huitaji kuuliza wasiojuikana ni wakina Nani, nadhani ikiwa mtu anaweza kuja adharani akasimama nakusema ulifanya hivi na hukufanya basi mtu huyo ana chuki na ana roho ya kukua. Wapo watu wanarithi laana za wazazi...
Je, ni Jumbe Katala?
Je, ni Zaipuna Yonah?
Je, ni Timothy Lyanga?
Je, ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je, ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?
Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na...
Wazee Wa Dar Es Salaam Ni Akina Nani? Je, Sifa Za Mzee wa Dar es Salaam Ni Zipi?
Ndugu zangu,
Leo Rais wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan ataongea na Wazee wa Dar es Salaam.
Kwenye juzuu ya kwanza kati ya tatu, kitabu ' The Making Of A Philosopher Ruler, ukurasa 124-125., mwandishi Mtanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.