Vyombo vya Habari Nchini Senegal vimeripoti kuwa Serikali ya Nchi hiyo imelichukua eneo lililokuwa limetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Mji wa Akon ‘AKON CITY’ na kulirudisha mikononi mwake baada ya Msanii huyo maarufu duniani kufeli kukamilisha ujenzi wa mradi huo wa Mji wa kibunifu kama...