al ahly

  1. John Haramba

    Presha yawa kubwa kwa Luis Miquissone, benchi lamtesa, Simba watajwa, wadau Al Ahly waja juu

    Vigogo wa Afrika, Al Ahly wamepoteza mchezo wa nusu fainali ya Klabu Bingwa Dunia kwa kufungwa mabao 2-0 na Palmeiras ya Brazil, usiku wa kuamkia leo. Kwa maana hiyo AL Ahly sasa wanasubiri kucheza mechi ya kutafuta mshindi wa tatu dhidi ya Al Hilal ya Saudi Arabia au Chelsea ya England ambazo...
  2. Christopher Wallace

    Kumbe Miquissone anacheza kama beki Al Ahly

    Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana
  3. N

    Jezi za Waarabu zilivyosifiwa kwa kuchafuka

    Kwa hakika siku zinaenda leo jezi kuwa na wadhamini wengi zinaitwa siyo za mpira, bahasha za khaki ni hatari sana === Sare ya Yanga na uchafu wa jezi ya Al Ahly MONDAY APRIL 11 2016 Summary Mbele ya mboni za macho yangu ni kama vile Yanga wameshinda. Wamewezaje kucheza na timu ambayo ina...
  4. Suley2019

    Miquissone afunguka dili lake Al Ahly

    Baada ya kurudi kazini uongozi wa Simba, uliokuwa bize kwa ajili ya fainali kombe la Shirikisho (ASFC) na kubeba taji hilo mbele ya Yanga wamekutana na email iliyotoka Al Ahly ambayo imeeleza kumuhitaji Luis Miquissone. Taarifa ambazo Mwanaspoti imezipata kutoka ndani ya Simba, mabingwa hao wa...
Back
Top Bottom