Al-Hajj Nourdin Mushi (pia anajulikana kama Al-Hajj Mushi) ni kijana wa Tanzania mwenye umri wa miaka 25 (kufikia 2025).
Anajulikana kwa:Kuwa content creator maarufu kwenye Instagram (@n.i.g_boss au @kings_hot_riders)
Anapost picha na video za magari ya kifahari (luxury cars) huko Tanzania, pamoja na bei zake
Anafanya kazi ya kukodisha magari (car hire) na biashara zinazohusiana na magari.
Habari za hivi karibuni:Mnamo Septemba 5, 2025, aliripotiwa kutekwa na watu wenye silaha eneo la Tegeta Kibo, Dar es Salaam.
Alimwambia kaka yake (Ally Mushi) kwamba anaenda kukutana na mteja wa kukodisha gari. Familia yake bado inamtafuta hadi sasa, na kisa hicho kimezua gumzo nchini
-
Familia ya Al-Hajj Nourdin Mushi (25) imeendelea kumtafuta baada ya kuchukuliwa na watu wenye silaha maeneo ya Tegeta Kibo mnamo Septemba 05, 2025.
Al-Hajj Mushi anayeishi na kaka yake, Ally Mushi, alimuaga kaka yake kuwa anaenda kukutana na mteja wa kukodisha gari maeneo ya Tegeta Kibo Complex...