Al-hajj Mushi anayeripotiwa kutekwa amezingua kitu gani?

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Familia ya Al-Hajj Nourdin Mushi (25) imeendelea kumtafuta baada ya kuchukuliwa na watu wenye silaha maeneo ya Tegeta Kibo mnamo Septemba 05, 2025.

Al-Hajj Mushi anayeishi na kaka yake, Ally Mushi, alimuaga kaka yake kuwa anaenda kukutana na mteja wa kukodisha gari maeneo ya Tegeta Kibo Complex mnamo Septemba 05, 2025.

Hata hivyo majira ya saa moja jioni,alichukuliwa kinguvu na watu wenye silaha walioodoka naye katika gari aina ya Toyota Wish. Al-haji alikipiga kelele kuwa anatekwa katika jitihada za kukabiliana na watu hao, hata hivyo walimzidi nguvu na kuondoka naye. Hakukua na yeyote katika kadamnasi aliyeweza kutoa msaada wa moja kwa moja kudhibiti watu hao.

“Ni kijana mdogo tu wa miaka 25, aliniomba ruhusa anaenda Kibo Complex kibiashara, alivyoenda pale hakurudi tena. Sasa kesho asubuhi tukaenda hiyo sehemu-Kibo Complex, [mashuhuda] wakatuambia kumbe nyie ni ndugu ya yule jamaa aliyetekwa,” anaeleza kaka yake ndugu Ally.

Al-Hajj ni maarufu katika mtandao wa Instagram kupitia ukurasa wake wa @kings_hot_riders ambao husambaza picha kuhusu magari ya kifahari Tanzania. Sehemu kubwa hupiga picha na kusambaza picha hizo kwa ridhaa za wamiliki wa magari hayo.

Tukio hili limeripotiwa polisi kituo cha Mbweni na kupewa RB namba: MBN/RB/2209/2025, kama una taarifa zozote unaweza kuwasiliana na familia kupitia namba 0683772862.

Soma >> Maria Sarungi aripoti Al-HAJJ NOURDIN MUSHI ametekwa tangu jana 05 September, 2025
 
Naanza kuhisi zile gari za kifahari wanaweza wakubwa wa mitutu kuhusika.

Nchi ina mashetani hii
 
Ni tukio la kusikitisha sana. Vijana tuwe makini sijui sababu ya kufanyiwa vile ila kuna baadhi ya mambo ni vyema kuyaepuka kabisa kwa usalama wako.
1. Dhuluma
2. Ubabe na sifa za kijinga.
3. Mke/mme wa mtu
4. Siasa- nadhani uhalisia unajulikana.
5. Kufuatilia mambo ya watu yasioyokuhusu.
6. Mtaongeza
 
  • Siasa- nadhani uhalisia unajulikana
  • Kufuatilia mambo ya watu yasioyokuhusu
Umetuma ujumbe wa sababu muhimu. Umekosea kuweka vitisho. Ufisadi ni ukatili dhidi ya uchumi wetu.
Kijana ni shujaa kuliko vyombo vyetu vyenye jukumu la kukinda na kusimamia sheria
 
Ni tukio la kusikitisha sana. Vijana tuwe makini sijui sababu ya kufanyiwa vile ila kuna baadhi ya mambo ni vyema kuyaepuka kabisa kwa usalama wako.
1. Dhuluma
2. Ubabe na sifa za kijinga.
3. Mke/mme wa mtu
4. Siasa- nadhani uhalisia unajulikana.
5. Kufuatilia mambo ya watu yasioyokuhusu.
6. Mtaongeza
Kwanini lakini mtindo huu wa kuteka umeonekana kulindwa na jeshi la polisi, huu ni mfumo mpya wa ukamataji na uuaji wa raia, huyu IGP huwa namtafakari sijui ni mtu wa aina gani , anaonekana ni wa dili chafu na matendo machafu ingawa ukimwangalia wala haendani
 
Ana historia katili ndani ya jeshi. Mikono yake ina damu za cold blooded Tanzanians
 
Kwanini lakini mtindo huu wa kuteka umeonekana kulindwa na jeshi la polisi, huu ni mfumo mpya wa ukamataji na uuaji wa raia, huyu IGP huwa namtafakari sijui ni mtu wa aina gani , anaonekana ni wa dili chafu na matendo machafu ingawa ukimwangalia wala haendani
Vitendo vya utekaji sio kabisa.

Binadam sisi ni wema sana machoni kwa watu ila ndani yetu tuna mengi ya hatari tumeficha, simaanishi kwamba kijana alietekwa ni hatari.
 
Il
Familia ya Al-Hajj Nourdin Mushi (25) imeendelea kumtafuta baada ya kuchukuliwa na watu wenye silaha maeneo ya Tegeta Kibo mnamo Septemba 05, 2025.

Al-Hajj Mushi anayeishi na kaka yake, Ally Mushi, alimuaga kaka yake kuwa anaenda kukutana na mteja wa kukodisha gari maeneo ya Tegeta Kibo Complex mnamo Septemba 05, 2025.

Hata hivyo majira ya saa moja jioni,alichukuliwa kinguvu na watu wenye silaha walioodoka naye katika gari aina ya Toyota Wish. Al-haji alikipiga kelele kuwa anatekwa katika jitihada za kukabiliana na watu hao, hata hivyo walimzidi nguvu na kuondoka naye. Hakukua na yeyote katika kadamnasi aliyeweza kutoa msaada wa moja kwa moja kudhibiti watu hao.

“Ni kijana mdogo tu wa miaka 25, aliniomba ruhusa anaenda Kibo Complex kibiashara, alivyoenda pale hakurudi tena. Sasa kesho asubuhi tukaenda hiyo sehemu-Kibo Complex, [mashuhuda] wakatuambia kumbe nyie ni ndugu ya yule jamaa aliyetekwa,” anaeleza kaka yake ndugu Ally.

Al-Hajj ni maarufu katika mtandao wa Instagram kupitia ukurasa wake wa @kings_hot_riders ambao husambaza picha kuhusu magari ya kifahari Tanzania. Sehemu kubwa hupiga picha na kusambaza picha hizo kwa ridhaa za wamiliki wa magari hayo.

Tukio hili limeripotiwa polisi kituo cha Mbweni na kupewa RB namba: MBN/RB/2209/2025, kama una taarifa zozote unaweza kuwasiliana na familia kupitia namba 0683772862.

Soma >> Maria Sarungi aripoti Al-HAJJ NOURDIN MUSHI ametekwa tangu jana 05 September, 2025
Dah admin wa page yangu pendwa ametekwa kweli hii nchi ina mangaunje wengi
 
Aliposti Magari ya Abdul na Angela Kizigha, mafisadi ya SAMUYA.
 
Back
Top Bottom