hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,772
- 15,651
Ni ngumu sana mpumbavu kujijua kuwa ni mpumbavu kwa sababu upumbavu ukaa kichogoni mwa mpumbavu .....mtizame Samia na kikwete
Polisi hawana nguvu.Ila hili la utekaji ni kama jeshi la polisi wameli halalisha kabisa kitu ambacho ni hatari sana kwa usatawi wa taifa
Waislamu ndiyo kiumbe chenye ku criticize wengine huku wao ni wabovu kuliko wanao wa criticize (huu ni upumbavu wa daraja ya juu kabisa.Upumbavu wao nini???
Hata hasty generalization unayoifanya ni upumbavu pia.Waislamu ndiyo kiumbe chenye ku criticize wengine huku wao ni wabovu kuliko wanao wa criticize (huu ni upumbavu wa daraja ya juu kabisa.
Kwanini hawataki magari yao ya bei mbaya yaonekane?Aliposti Magari ya Abdul na Angela Kizigha, mafisadi ya SAMUYA.
Ohoooo aisee familia ipige kelele kuhusu hili watenda kumuuaAliposti Magari ya Abdul na Angela Kizigha, mafisadi ya SAMUYA.
Mad Max upo jamvini kweli? Kama haupo basiFamilia ya Al-Hajj Nourdin Mushi (25) imeendelea kumtafuta baada ya kuchukuliwa na watu wenye silaha maeneo ya Tegeta Kibo mnamo Septemba 05, 2025.
Al-Hajj Mushi anayeishi na kaka yake, Ally Mushi, alimuaga kaka yake kuwa anaenda kukutana na mteja wa kukodisha gari maeneo ya Tegeta Kibo Complex mnamo Septemba 05, 2025.
Hata hivyo majira ya saa moja jioni,alichukuliwa kinguvu na watu wenye silaha walioodoka naye katika gari aina ya Toyota Wish. Al-haji alikipiga kelele kuwa anatekwa katika jitihada za kukabiliana na watu hao, hata hivyo walimzidi nguvu na kuondoka naye. Hakukua na yeyote katika kadamnasi aliyeweza kutoa msaada wa moja kwa moja kudhibiti watu hao.
“Ni kijana mdogo tu wa miaka 25, aliniomba ruhusa anaenda Kibo Complex kibiashara, alivyoenda pale hakurudi tena. Sasa kesho asubuhi tukaenda hiyo sehemu-Kibo Complex, [mashuhuda] wakatuambia kumbe nyie ni ndugu ya yule jamaa aliyetekwa,” anaeleza kaka yake ndugu Ally.
Al-Hajj ni maarufu katika mtandao wa Instagram kupitia ukurasa wake wa @kings_hot_riders ambao husambaza picha kuhusu magari ya kifahari Tanzania. Sehemu kubwa hupiga picha na kusambaza picha hizo kwa ridhaa za wamiliki wa magari hayo.
Tukio hili limeripotiwa polisi kituo cha Mbweni na kupewa RB namba: MBN/RB/2209/2025, kama una taarifa zozote unaweza kuwasiliana na familia kupitia namba 0683772862.
Soma >> Maria Sarungi aripoti Al-HAJJ NOURDIN MUSHI ametekwa tangu jana 05 September, 2025
NomaIl
Dah admin wa page yangu pendwa ametekwa kweli hii nchi ina mangaunje wengi
💯Nina uhakika hii ndiyo sababu
🚮🚮Waislamu ndiyo kiumbe chenye ku criticize wengine huku wao ni wabovu kuliko wanao wa criticize (huu ni upumbavu wa daraja ya juu kabisa.
Dah 😂Hao watekaji mkiwadhibiti mkawapa dozi nene polisi watakuja kuwaambia mmewapiga maafisa wa TRA.Unakumbuka lile tukio la tegeta? Hadi wanasiasa waliingilia kati kumtetea aliyepewa kipondo na wananchi
Sasa hivi ukiona umerudi nyumbani salama unashukuru sana.Familia ya Al-Hajj Nourdin Mushi (25) imeendelea kumtafuta baada ya kuchukuliwa na watu wenye silaha maeneo ya Tegeta Kibo mnamo Septemba 05, 2025.