al jazeera

Al Jazeera (Arabic: الجزيرة‎, romanized: al-jazīrah, IPA: [æl (d)ʒæˈziːrɐ], literally "The Island", though referring to the Arabian Peninsula in context) is a free-to-air international Arabic news channel based in Doha, Qatar that is operated by the media conglomerate Al Jazeera Media Network. The channel is a flagship of the media conglomerate and hence, is the only single offering to carry the name as simply "Al Jazeera" in its branding.
The channel's willingness to broadcast no holds barred views, for example on call-in shows, created controversies in the Arab States of the Persian Gulf. One of the station's office was the only channel to cover the War in Afghanistan live.The parent holding is a "private foundation for public benefit" under Qatari law. Under this organisational structure, the parent receives funding from the government of Qatar but maintains its editorial independence. The network is sometimes perceived to have mainly Islamist perspectives, promoting the Muslim Brotherhood, and having a pro-Sunni and an anti-Shia bias in its reporting of regional issues. Al Jazeera insists it covers all sides of a debate and says it presents Israel's views and Iran's views with equal objectivity. Al Jazeera has aired videos released by Osama bin Laden.In June 2017, the Saudi, Emirati, Bahraini, and Egyptian governments insisted the closure of the entire conglomerate as one of thirteen demands made to Government of Qatar during the Qatar diplomatic crisis. Other media networks have spoken out in support of the network. According to The Atlantic magazine, Al Jazeera presents a far more moderate, Westernized face than Islamic jihadism or rigid Sunni orthodoxy and though the network has been criticized as "an 'Islamist' stalking horse", it actually features "very little specifically religious content in its broadcasts."

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Ukitaka kujua kuwa Waandishi wa Habari wa Al Jazeera wana lengo la kuichafua Israel sikiliza hii interview

    Ni interview aliyofanyiwa Douglas Murray na Mwandishi wa Habari wa Al Jazeera
  2. Mtu Asiyejulikana

    Al Jazeera: Israel haitaki kusitisha mapigano yaendelea kushambulia Lebanon

    Marekani inataka sana Israel isimamishe mapigano huku juu juu. Lakini kwa ndani ni kama inawaambia endeleeni kushikilia hapo hapo. Israel inaendeleza kipigo huko Lebanon ni kama haitaki mapigano yasimame. Huu ni ushahidi toka Al Jazeera siyo websites za vichochoroni za kinazi.
  3. U

    Breaking News Wafanyakazi wa ofisi za kituo cha television cha Al Jazeera wakimbia ofisi zao haraka, yadaiwa ni hofu dhidi shambulizi la IDF!

    Wadau hamjamboni nyote? Hajulikani nani aliyetoa taarifa hiyo iliyoleta taharuki hiyo ila hadi muda huu ofisi hizo huko Beirut zimebaki tupu baada ya Wafanyakazi wote kukimbia ili kuokoa maisha yao Taarifa kamili tutawaletea October 17, 2024 Al Jazeera office evacuated in Beirut after...
  4. Sodoku

    Changamoto wanazokumbana nazo watu wa jamii ya Kiislam ya Uighur nchini China ambapo serikali inaona dini hiyo kama 'tatizo la akili'

    Astaghafilullhah... Hawa Wachina wana akili kweli? Wanajielewa? Mbona wana ongea kwa kujiamini hivi? Wanazijua haki za binadamu kweli? Kama wasingekuwa wameandika hivi Al Jazeera nisingeamini kabisa. Laaana kum. =============== Abdulla* goes to bed every night dreading that knock on the door...
  5. State Propaganda

    Wale wote wapenda amani duniani leo Oktoba 7 tuangalie hii makala mpya kutoka Al Jazeera

    Mimi na familia yangu leo ifikapo saa mbili kamili usiku tutakuwa sebuleni tukiangalia makala maalum iliyoandaliwa na kitengo cha utafiti wa habari cha Al Jazeera (Al Jazeera Investigation Unit) kama kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kuanza kwa vita baina ya Palestina na israeli. Katika makala...
  6. Komeo Lachuma

    Al Jazeera wasema inachofanya Israel sasa haikuwahi fanya before

    Sitasitakih
  7. Hypersonic WMD

    Kwanini Al jazeera huwa hawaoneshi video za Walestina wanaopinga Hamas?

    Wakuu ni nadra sana kuona hizi video mtandaoni hasa kwene media za al jazeera! Hawa raia wanawatukana Hamas kwamba wamefanya maamuzi ya kijinga ndio yanawaua https://youtu.be/5JJK0X7D82w?si=BsTgKOsUjPAt__gz
  8. Pdidy

    Al Jazeera hawaoni mauaji ya Ukraine wanaona Gaza tu?

    Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
  9. Komeo Lachuma

    Al Jazeera : Israel yaendeleza kichapo maeneo mbalimbali ya Gaza

    Al Jazeera nao wameanza kutumika? Nashindwa waelewa. Mbona hawa report vizuri hizi taarifa za Mayahudi? Hapa ni kama wanaelezea kwa furaha kupigwa kwa Maarabu. Ritz Papa anasemaje leo? Irani inachukua muda mrefu kujipanga walishapandisha bendera Nyekundu wanasubiria nini sasa? Ustaadhi...
  10. J

    Kwa wajuzi wa weledi na maadili ya Uandishi wa Habari, je Al Jazeera ni Chambo cha Habari cha Kimataifa kinachokidhi vigezo?

    Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
  11. BARD AI

    Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa. "Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera...
  12. Mlaleo

    Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo

    Israeli parliament passes law paving the way for Al Jazeera closure Prime Minister Benjamin Netanyahu promises to use the law to shutter local operations of Al Jazeera. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has promised to “act immediately to stop” Al Jazeera’s operations in the country...
  13. Chizi Maarifa

    Al Jazeera: Hivi ndivyo Wachina wanavyotuona sisi. Nimesikitika na kuumizwa sana na Jambo hili

    Miaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu. But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa. Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea...
  14. Eli Cohen

    Al jazeera ni kituko. Iran na Pakistan wameanza kupigana ila habari zao siku nzima ni kuisakama Israel

    Haw jamaa sio chombo cha habari bali ni chombo cha itikadi. Wanaona haya kubroadcast mvutano ulianza kati ya iran na pakistan eti kisa ni mataifa ya kiislam. Bado tu ni kuwalaumu Israel juu ya vita yao dhidi ya hamas. Double standard sana hawa watetea magaidi.
  15. MK254

    IDF waanza kutoa ushahidi unao onyesha wanahabari wa Al Jazeera walikua magaidi yenye mlengo wa kidini

    Wana habari walijificha kwenye mgongo wa uanahabari huku wakifanya yao, ila hawakujua siku zao zilihesabika... Military claims documents found in Strip reveal pair working for Al Jazeera were members of Hamas, Islamic Jihad, and ‘actively involved in attacks’ The Israel Defense Forces on...
  16. Ngongo

    AL JAZEERA ni kituo cha HAMAS

    Utoaji wake wa habari umeegemea upande mmoja wa kupendelea kikundi cha kigaidi cha HAMAS. Al Jazeera ni kituo cha habari cha hovyo.
  17. Chizi Maarifa

    Al-Jazeera: Mpaka sasa wameuawa zaidi ya Wapalestine 21,000 na Dunia imenyamaza tu?

    Hawa waisrael wameshindikana? Mbona wanazidi kuua tu ndugu zetu? https://www.aljazeera.com/tag/israel-palestine-conflict/ hali ni tete palestina yanabaki magofu tu. Jamaa wanatamba tu utadhani nchi yao. Je ni hawa hawa mateka au walikuwa na sababu zao toka mwanzo sasa wamepata chanzo? Wallah...
  18. Chizi Maarifa

    Al Jazeera hizi taarifa tutawaamini vipi? Zaidi ya Wapalestina 19,000 wameuawa toka Vita ianze?

  19. sky soldier

    Licha ya ushahidi wa AL Jazeera, kwanini Hamas hawataki kuomba msamaha familia za Wapalestina 500 waliofariki kwa kombora lao kupata hitilafu?

    Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire". Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA 18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina...
  20. sky soldier

    Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana Magaidi kiasi cha kupindisha ukweli ili kujenga chuki kwa Israel

    Jana dunia nzima ilikuwa inaamini kwamba Israel kalipua hospitali lakini ajabu ni kwamba muda wote huo Al Jazeera alificha video za ushahidi kwamba bomu lililorushwa na Hamas lilijamu angani na kushuka kwa kishindo kwenye hospitali ya Gaza kupelekea mlipuko na vifo vya wapalestina kibao. Hii ni...
Back
Top Bottom