Muda wa kutumia simu kadi ambazo hazijasajiliwa unafika ukingoni January 20 huku kukiwa na siku mbili tu mbele.
Watanzania lukuki bado hawajakamilisha zoezi hili muhimu huku sababu kubwa ikitajwa ni NIDA kuwa na mwendo wa kinyonga, pamoja na hayo TCRA wametoa msisitizo kuwa hawataongeza muda...
Nina wadogo na ndugu zangu watano waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana ambao matokeo yao yametoka mapema mwaka huu.
Kati ya wadogo zangu watano watatu wamepata daraja la kwanza na mmoja wao amepata daraja la kwanza la alama 10 kati ya masomo kumi aliyofanya amepata A's 4 za masomo ya...
Salute
Mnamo mwaka wa 4BC jijini Galilaya katika kitongoji kiitwacho Nazareth kulikuwa na familia ya Bw. Joseph na mkewe Maria; walipata mtoto wa kiume wakamwita Jina Yeheshua au Yesu.
Ilikua ni moja ya kaya ya kimaskini, Bw. Joseph alikua anajishughulisha na shughuli za uchakataji wa mbao...
WanaJF habarini!
Mara nyingi niwapo Vijijini (sehemu ambazo network ni dhaifu) napendelea kutumia simu ndogo (ya batani/java phone) maana smartphone huwa slow kupita kiasi tofauti na simu ndogo.
Pale nikiwa kwenye data huwa inatokea alama "E" lakini kuna baadhi ya maeneo nikiwa kwenye data...
Kama kuna uwezekano line na mitandao ya simu kutenganishwa ingekuwa ni vizuri sana.
Yaani anayetoa line na namba awe taasisi moja, halafu kuwe na teknolojia ya kuruhusu mtumiaji kutumia na kuhama kwenye kampuni atakayopenda wakati anapotaka kwa kutumia simu yake.
Yaani line yako uweze...
Rais John Magufuli ameongeza siku 20 kuanzia kuanzia Januari 1-20 kwa watu wote watakaoshindwa kusajili laini zao za simu ifikapo Desemba 31.
Pia, leo Desemba 27 Rais amefanya usajili wa laini yake kwa kutumia alama za vidole
Mwananchi
====
Habari za uzushi za kutekwa kwa mdhibiti mkuu wa fedha za serikali wa zamani Profesa Assad zimezusha taharuki kubwa.
Na mpaka ilipoibuka video mitandaoni ambapo Profesa Assad anaonekana yupo salama na mwenye afya njema, watu wengi waliingiwa na hofu kubwa.
Ifikapo tarehe 31 Desemba mwaka huu...
Heri ya Krismas na Mwaka mpya wanaJF!
Usajili wa laini kwa alama za vidole umekuwa changamoto kubwa sana miongoni mwetu hapa nchini. Kutokana na hilo watu wamekuwa wanachukua njia mbadala ili kuepuka kufungiwa laini zao.
1. Baadhi huwachukua marafiki/ndugu/jamaa wenye vitambulisho na kwenda...
Aliyekuwa Mgombea katika nafasi ya Ujumbe wa Serikali ya Mtaa ya eneo la Mnara wa Voda, kupitia CHADEMA kabla ya Chama hicho hakijajitoa kushiriki, Sirili Homary amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake huku akidaiwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni
Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha...
SERIKALI imesema, hakuna Mtanzania amabaye laini yake ya simu itafungwa kwasababu ya kutosajiliwa kwa alama za vidole. Kauli hiyo ameitoa Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani, alipozungumza bungeni jijini Dodoma leo tarehe 13 Septemba 2019.
Amesema, ni maelekezo ya Rais John Magufuli kwamba...
Takriban nusu ya laini milioni 44 za simu zinaweza kufungwa iwapo kasi ya utoaji vitambulisho vya Taifa haitaongezeka katika siku 49 kuanzia leo.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema itazizima laini hizo ifikapo Desemba 31 iwapo wamiliki watakuwa hawajajisajili kieletroniki kwa...
Wadau habari za wakati huu.
Naenda kwenye mada moja kwa moja. Leo nimepokea jumbe zenye maana na angalizo jumuishi kama hiyo attachment inavyojieleza.
Sasa swali ninalojiuliza ni kwamba iwapo mimi nimeshajisajili kwa kuchukuliwa alama za vidole kwa nini mtu mwingine ajisajili kwa kutumia namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.