Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo kwenye mchakato wa kufuta shule zote za sekondari za kutwa kwa ajili ya kudhibiti nidhamu kwa wanafunzi wote wa sekondari.
Chalamila ameyasema hayo katika uwanja wa shule ya Sekondari ya Azania kwenye hafla ya kukabidhi magari kwa...
Albert Chalamila akiandaliwa vizuri, anaweza kuwa Katibu wa Uenezi mzuri sana wa CCM. Anahitaji mentorship kumuondolea mambo madogo madogo yanayomkwaza kiuongozi.
CCM inaweza kumuweka karibu na magwiji ya Siasa yakaendelea "kumpika", na pia akapata mafunzo ndani na nje ya nchi, hasa katika vyuo...
Leo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.
Mapungufu yake ni machache kuliko Ufanisi (Uwezo) wake mkubwa wa Kiutendaji ambao GENTAMYCINE naupenda na naukubali.
Mkoa wa Dar es Salaam unawataka Watu Chakaramu (Watundu) ambao pia ni Watoto wa Mjini, Wasomi sana halafu Wasela mno na Wanaojua Kujichanganya na Waru wa kila Rika, Wathubutu na...
Panya Road, vibaka, na wauza madawa ya kulevya pamoja na wavuta shisha wa mkoa wa Dar es Salaam hawatapenda ujio wa mkuu wa mkoa mpya Albert Chalamila kwani hapendi ujinga na hatawavumilia kabisa kwa hiyo wajiandae.
Mitaa ya Ufipa maeneo ya manyanya mateja walikuwa wameanza kumea kwa kasi...
Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili.
Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla.
Ninachomwomba Chalamila, ni ajitahidi kuwa yeye na kuusema ukweli pasipo kumwogopa yeyote.
Usiogope...
Bado Watanzania wengi tuko kwenye tafakari kubwa sana na Kauli ya Mstaafu Kikwete kuwakingia kifua mawaziri waliotajwa na Chalamila kuwa wanakwenda nje ya nchi kukopa kwa ajili ya kumngoa Rais Samia 2025.
Swali ambalo watanzania wengi wanajiuliza ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amewataka wadau wa mifugo kutoa elimu ya ufugaji bora kwa wafugaji ili kuwawezesha kufanya ufugaji wa kisasa ambao utaepusha ng'ombe kutembea umbali mrefu kutafuta malisho na kusababisha nyama yake kuwa ngumu
Akizungumza wakati wa kufunga maonyesho ya...
Uteuzi wa Chalamila umetoa Funzo kubwa sana kwa vijana, Baada ya kutenguliwa Chalamila aliendelea kuwa na heshima ndani ya chama chetu cha CCM.
Chalamila aliendelea kuheshimu mamlaka ya uteuzi na aliendelea kuishi maisha ya kawaida ya kujichanganya na watu.
Vijana lazima mjifunze kuheshimu...
Ki ukweli, nilimkubali sana Chalamila wakati ule wa JPM. Hata sasa namkubali sana tena sana.
Kiongozi lazima uwe na msimamo, lakini pia ni lazima kuchukua hatua kali pale inapobidi.
Hongera sana TINGATINGA kwa kuteuliwa tena kuwa RC.
Albert Chalamila Mhenga wa Kale
Sijui unamfahamu mkuu wa mkoa aliyewahi kufukuzwa kwa kashifa ya mabango? Huyu bwana mimi namuita Mwamba kwa sababu kutimuliwa ukuu wa mkoa tena na mwanamke na akabaki bila kujinyonga kwa Mhehe sio jambo dogo kabisa na anakwambia kufukuzwa ni laana inayomuandama...
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.
Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.
The big 5 ndio watailinda legacy...
Huyu aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ndugu Albert Chalamila na kuhamishiwa Mwanza kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa inawezekana kabisa hakuridhika na uhamisho wake hivyo zile kauli zake baada ya uhamisho ukiangalia kwa jicho la ukamisaa inaonyesha kabisa kama ameropoka makusudi kabisa.
Na katika utenguzi...
Asichukuliwe poa kwani kitendo alichofanya ndugu Chalamila kina kila dalili zote kuwa sio cha bahati mbaya na hayuko peke yake.
Maongezi yake ukiyasikikiza vizuri yana kila dalili kuwa anawachochea watu wa kanda ile dhidi ya kifo cha mpendwa wetu. Bado haamini kuwa Mungu anaweza kufanya vile...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel leo Ijumaa Juni 11, 2021 amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya makabidhiano ya ofisi na mtangulizi wake, Albart Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Amefika katika ofisi za mkuu wa mkoa leo saa 4:50 asubuhi na kupokelewa na wajumbe wa kamati ya amani...
Mhandisi Robert Gabriel karibu Mwanza. Wenyewe tunaita Rock City, Jiji la Miamba. Wewe sio mgeni Kanda ya Ziwa, unatufahamu. Bado tunaimba na kuomboleza!
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila alipotoshwa na yeye akapotosha umma, wewe usirudie kosa hilo. Tafuta chapisho langu la...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Juni 2021 amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine kama ifuatavyo:-
=====
Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa Mwanza Albert Chalamila, na kumhamishia mkoa huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.