alex mkama

Alex Mkama (au CP Alex Sospeter Mkama) ni Kamishna wa Polisi Jamii nchini Tanzania.Maelezo:Aliwahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro (RPC Morogoro).

Machi 2026, Rais Samia Suluhu Hassan alimpandisha cheo na kumteua kuwa Kamishna wa Polisi (Commissioner of Police) anayesimamia Polisi Jamii.
  1. JamiiForums Tanzania Alex Mkama apandishwa Cheo kuwa Kamishna wa Polisi, ateuliwa kuongoza Polisi Jamii

    Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amepandishwa cheo na kuwa Kamishna wa Polisi, pamoja na kuteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuwa Kamishna wa Polisi Jamii. Kamishna Mkama ameapishwa rasmi leo, tarehe 26 Machi 2026, na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 SACP Alex Mkama: Wananchi wema hawapaswi kutuogopa, tumejiandaa vizuri kukabiliana na wavunjifu wa amani

    Akizungumza na waandishi wa habari jana Oktoba 27, 2025 Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema wananchi hawapaswi kuwa na hofu au kutafsiri vibaya muonekano wa vyombo vya ulinzi na usalama “Wananchi wema hawapaswi kuogopa muonekano wa vyombo vyetu vya usalama bali wachukue...
  3. JamiiForums Tanzania Morogoro: Mama adaiwa kumuua mwanaye kwa kumkatakata na panga

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Teodora Mkunga (39), mkazi wa Lusange, Kata ya Mtombozi, Wilaya ya Morogoro, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Simon Gervas (8) kwa kumkata sehemu mbalimbali za mwili wake kwa panga. Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro, Alex Mkama akizungumza ofisini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…