Alex Mkama apandishwa Cheo kuwa Kamishna wa Polisi, ateuliwa kuongoza Polisi Jamii

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,990
Reaction score
3,551
1774553103809.png

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amepandishwa cheo na kuwa Kamishna wa Polisi, pamoja na kuteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuwa Kamishna wa Polisi Jamii.

Kamishna Mkama ameapishwa rasmi leo, tarehe 26 Machi 2026, na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillus Wambura.

Kupandishwa cheo na uteuzi huu ni matokeo ya utendaji wake uliotukuka, nidhamu, na mchango wake mkubwa katika kuimarisha usalama na utulivu wa wananchi.

Tunamtakia kila la kheri katika majukumu yake mapya ya kulitumikia taifa.

Hongera sana Kamishna Alex Mkama 👏🏾🇹🇿
 
View attachment 3563140

Kikosi chao cha majambazi hakina manufaa yoyote kwa taifa!
 
Sifa ni umeua wangapi, umeteka wangapi, umetesa wangapi, umepoteza wangapi which all boil down to degree of UKATILI YOU HAVE, THEN UNAPANDISHWA CHEO
 
Huyu s alikuwa SACAP mbona hata hajafika DCP Ghafla kawa CP

LAZARO MAMBOSASA mwaka wa 5 huu n DCP na yule kamanda wa mwanza bado DCP hajapanda cheo mwaka wa 3 iweje huyu apande kwa haraka na kuruka cheo kimoja ?
All sacp to dco wako in range ya uteuzi since CP ni uteuzi. So itadepend na ufanyaji kazi wa mtu
 
Polisi ni wazembe wakiwa hawakutafuti wewe. Nitaleta kisa changu baada ya kudalalia shamba la mjeda huko Makambako.
 
Huyu s alikuwa SACAP mbona hata hajafika DCP Ghafla kawa CP

LAZARO MAMBOSASA mwaka wa 5 huu n DCP na yule kamanda wa mwanza bado DCP hajapanda cheo mwaka wa 3 iweje huyu apande kwa haraka na kuruka cheo kimoja ?
Ni cheo Cha uteuzi sio lazima apitie uDCP, Mambosasa ni mstaafu pamoja na kamanda Murilo. Yupo pale kwa mkataba hivyo vyeo havimuhusu Tena.
 
Huyu s alikuwa SACAP mbona hata hajafika DCP Ghafla kawa CP

LAZARO MAMBOSASA mwaka wa 5 huu n DCP na yule kamanda wa mwanza bado DCP hajapanda cheo mwaka wa 3 iweje huyu apande kwa haraka na kuruka cheo kimoja ?
Mambo ya kiutawala tuu mkuu

Mbona mabeyo alipaa vyeo viwili juu kabla ya kuwa CDF
 
Huyu s alikuwa SACAP mbona hata hajafika DCP Ghafla kawa CP

LAZARO MAMBOSASA mwaka wa 5 huu n DCP na yule kamanda wa mwanza bado DCP hajapanda cheo mwaka wa 3 iweje huyu apande kwa haraka na kuruka cheo kimoja ?
Nategemea mjadala wa katiba mpya utakapoanza utaomba mic 🎤 na kutema nyongo ukihoji teuzi z hovyo kama hizi zinajibiwa wapi utaratibu wake katika katiba.
 
View attachment 3563140

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amepandishwa cheo na kuwa Kamishna wa Polisi, pamoja na kuteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuwa Kamishna wa Polisi Jamii.

Kamishna Mkama ameapishwa rasmi leo, tarehe 26 Machi 2026, na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillus Wambura.

Kupandishwa cheo na uteuzi huu ni matokeo ya utendaji wake uliotukuka, nidhamu, na mchango wake mkubwa katika kuimarisha usalama na utulivu wa wananchi.

Tunamtakia kila la kheri katika majukumu yake mapya ya kulitumikia taifa.

Hongera sana Kamishna Alex Mkama 👏🏾🇹🇿
Kiagata Sec ALUMINI
 
Huyu s alikuwa SACAP mbona hata hajafika DCP Ghafla kawa CP

LAZARO MAMBOSASA mwaka wa 5 huu n DCP na yule kamanda wa mwanza bado DCP hajapanda cheo mwaka wa 3 iweje huyu apande kwa haraka na kuruka cheo kimoja ?
DCP huwa wachache sana huwa wanakiruka....nadhani msemaji wao ndio anakuwa DCP....sacp wanaenda CP moja kwa moja....hata uhamiaji na magereza nimeona wamefanya hivyo
 
Back
Top Bottom