Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan?
Leo GENTAMYCINE nawachana Live ( Mubashara ) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba (7) hadi Kumi (10) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan?
Leo GENTAMYCINE nawachana Live (Mubashara) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika
Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote siyo lazima iwe nyumbani
All the best
Utabiri:
Algers 1-2 Tanzania
Algeria vinara wa Kundi F katika kufuzu kwajili ya AFCON watawaalika Tanzania (Taifa Stars) katika mchezo utakaofanyika katika dimba la Annaba huko Algeria.
Taifa Stars yenye alama 7 inahitaji ushindi au sare ya aina yoyote ili iweze kufuzu huku Algeria ikikamilisha ratiba ikiwa na alama zake...
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vinavyofuatilia ubora wa Miundombinu barani Afrika, Tanzania imepanda hadi nafasi ya 9 kutoka nafasi ya 15 kwa Nchi zenye Barabara Bora na Nzuri Afrika.
Inashangaza na kufurahisha kwamba Tanzania inazizidi Nchi kama Algeria,Angola,Nigeria,Ghana,Ivory...
Serikali ya Tanzania imezindua rasmi ubalozi wake jijini Algiers, Algeria.
Ufunguzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax na kuhudhuriwa na mwenyeji wake Waziri wa Mambo ya Nje na Diaspora wa Algeria, Ahmed Attaf, Balozi wa kwanza wa...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amekutana Kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) alipomtembelea Ikulu Jijini Algiers, Algeria tarehe 1 Agosti 2023.
Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa...
Klabu ya Algeria HB Chelghoum Laïd 🇩🇿 imeweka Rekodi mbili za dunia baada ya kumaliza msimu wakivuna alama 4 tu katika mechi 30.
Pia Wameweka rekodi ya kucheza mechi zote 30 za ligi bila kupata ushindi hata mmoja.
Takwimu za timu hiyo:
Mechi 30
Ushindi 00
Sare 04
Kupoteza 26
Pointi 04
MWISHONI kabisa tulimwona Kocha Nasreddine Nabi akitoa machozi. Ni nadra kwa mwanamume kulia. Tunaambiwa tulie kwa ajili ya kuipa mioyo yetu nafuu lakini hatufanyi hivyo. Nabi alilazimika kufanya hivyo.
Alijua ameshindwa kumalizia kipande kidogo cha historia kilichokuwa kimebakia. Matokeo ya...
Nimejaribu kuangalia Fainali kadhaa zinazohusisha Klabu za Uarabuni na za kutoka kwa Weusi hasa zikichezwa Viwanja vya kwa Waarabu huku Kombe likiwa Uwanjani na Kugundua kuwa kwa 95% Kombe hubaki Uarabuni ( Egypt, Algeria, Morocco na Tunisia ) na ni kwa bahati sana tena kwa 5% Kombe hubebwa na...
Unaweza ukajiuliza kwanini Mama kawapa Yanga dege letu la kisasa.
Basi ondoa shaka ni kwa nia njema, kwani hawa watu wanahistoria mbaya huko Algeria.
Kama lilivyoreport gazeti la Mwanaspoti mwaka 2017.
Rubani alisubirii weee akaamua kuamsha.........
Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers.
Harusi ni Jumamosi, Yanga wanaenda tayari wamejiandaa kuvalishwa madela au medali. Hili ni tukio la...
Najua mnae wa Kucheza Mechi zenu za Ndani tu ( NBC Premier League ) kutoka Kilosa Morogoro na mnae yule wa Kucheza Mechi zenu za Kimataifa tu atokaye Uvinza Mkoani Kigoma ila kwa kupenda Kwenu Ushirikina mlivyoenda Congo DR kucheza na TP Mazembe FC Wachezaji wenu Mayele na Moloko...
Juzi tumeona kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha timu ya USM Alger ikiwasili JK Nyerere International Airport ikiwa na shehena ya Maji ya kunywa na pia inasemekana walibeba na vyakula vyao.
Huenda wakawa na nia njema ya kuhakikisha usalama wao na kuepuka hujuma za kimichezo lakini pia kwa...
Tunawapongeza Yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla.
Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM ni bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua, na ndio maana mmeshaanza kuhangaika kwa waganga ili wawasaidie mmeshachelewa.
Sheria zinazolalamikiwa ni zile zinazoweka mazingira magumu ya wazawa kumiliki vyombo vya habari na inayaolazimisha kufichua chanzo cha habari.
Sheria inapiga marufuku vyombo vya habari vya ndani kupokea ufadhili au msaada wa nyenzo za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kutoka nje ya...
Mwanahabari huyo mashuhuri na Mmiliki wa Radio M, ambayo hurusha mijadala mbalimbali kuhusu Siasa za Algeria, aliwekwa rumande Desemba 29, 2022 kwa kushutumiwa kupokea pesa kinyume cha Sheria kutoka kwa watu na Mashirika "kwa kubadilishana na kutekeleza shughuli ambazo zinaweza kudhuru usalama...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 17, 2023.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.