ali karume

Ali Abeid Amani Karume (born May 24, 1950) is a Tanzanian diplomat, who is Tanzanian Ambassador to Italy and Dean of Tanzania Ambassadors. He is the son of Zanzibar's first president, Sheikh Abeid Amani Karume and a member of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party since its inception in 1977.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Siitaki siasa tena Part 2: Ali Karume wa kufukuzwa CCM?

    Ali Karume wakati wa uchaguzi uliosusiwa na CUF 2015 alimcheka marehemu Seif, na alimsema sana marehemu na hatimaye akawa waziri baada ya uchaguzi. Hivi sasa Ali Karume kafukuzwa CCM wakati Peter Msigwa aliekuwa anawashambulia anakula kiyoyozi kizuri na neema nyingi. Siasa siitaki tena.
  2. J

    Hata huku CHADEMA kuna nahodha, mabaharia na makuli. Balozi Karume umeeleweka na wenye akili

    Miaka ile ya 1980s nakumbuka wakati wazamiaji wakirudi walikuwa wakiitwa Mabaharia lakini Mzee Kambangwa alisema hawa siyo Mabaharia ila ni Makuli wa Melini Sasa sisi Wabishi tulitaka Ufafanuzi zaidi ndio akasema hapo bandari kuna wabeba mizigo( kuli) ambao hulipwa daily kama vibarua kadhalika...
  3. Balozi Ali Karume: Siwezi kuvuliwa uanachama CCM na mdandia reli

    Miezi 14 baada ya kuvuliwa uanachama, mwanadiplomasia, Balozi Ali Karume ameendelea kusisitiza kwamba yeye ni mwanachama halali wa Chama cha Mapundizi (CCM) na hawezi kuvuliwa uanachama na “mdandia reli”. Mwanasiasa huyo amekuwa kimya katika kipindi chote hicho tangu alipovuliwa uanachama wa...
  4. C

    Yanga nina suluhisho kwenu kuhusu nafasi za Haji Manara na Ali Kamwe

    Kufuatia kinachoendelea pale Yanga kuhusu kurejea kwa Manara katika nafasi yake ya usemaji wa Club,ninashauri Yanga wafanye kama ifuatavyo: 1. Sababu Ali Kamwe amefanya kazi nzuri ya usemaji wa Club katika kipindi chote ambacho Manara alikuwa katika kifungo, basi nashauri abaki kwenye nafasi...
  5. D

    Wiki inakatika hatunaye Balozi Ali Karume

    Wajumbe, Sasa ni wiki moja inakatika hatunaye mtaani Balozi Ali Karume alipokonywa uanachama wa CCM na kisha kusafirishwa usiku wa manane kutoka Zanzibar hadi Tanganyika na kufichwa kusikojulikana. Hakuna anayejua afya ya Karume huko aliko. Katikati ya mjadala huu wa Bandari na Utanganyika...
  6. CCM Zanzibar yamfuta uanachama Balozi Ali Karume

    Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume. Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo Jumamosi Julai 8, 2023 chini ya Katibu wa Mkoa wa CCM, Amina Mnacho. Taarifa ya kumuondosha kwenye...
  7. CCM huko Zanzibar kimeumana haswa!

    Hali inazidi kuonesha kuwa visiwani kimeumana. Tazameni na sikilizeni kinachozungumzwa na mwana wa mfalme. Nauona mwisho wa CCM baada ya kutawala kwa 60yrs+. Kwa misuguano hii kamwe haijengi bali ni kuongeza nyufa ndani ya nyumba husika. Nafikiri hiki ni kipindi bora kwa wapinzani wazidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…