alicia keys

  1. ukwaju_wa_ kitambo

    Leo tunaangalia nyimbo 3 alizofanya kama collabo msanii, Alicia keys

    ALICIA KEYS Leo ' tunaangalia nyimbo 3 alizofanya kama collabo msanii, Alicia keys Ni ipi kali zaidi hapa? A. 50 Cent - New Day ft. Alicia Keys, Dr. Dre. B. Empire state of mind (feat. alisha keys) ft Jay Z. C. Eve - Gangsta Lovin' ft. Alicia Keys. #funguka
  2. N

    Alicia Keys tribute ya Jay Z, Bongo kama hii unapata kwa Ruby na Grace Matata

    naomba mniambie zaidi ya Ruby na Grace Matata nani anaweza kupiga show ya hivi hata kama akipigiwa vyombo?nazungumzia hadi wanaume sitaki wale wa gospel kina joe lwaga au gosbert wale wanajua labda hapo nitamuweka Ben Paul kidooogoo sana otherwise tutachochereshana.
  3. Miss Zomboko

    Mume wa Alicia Keys amuomba Diamond kuwatuliza mashabiki wake katika kumshambulia mkewe kwa kumpa sekunde 26 ndani ya wimbo wake

    Mume wa msanii Alicia Keys, Swizz Beatz amelazimika kuingilia kati baada ya mashabiki wa Diamond Platnumz kumshambulia mke wake mtandaoni kwa kumshirikisha Diamond kwenye wimbo wake wa Wasted Energy kwa sekunde 26 tu Katika chapisho lililotolewa na Pulse Live, Swizz Beatz alimtetea mkewe...
  4. Forgotten

    Album ya Alicia Keys 'ALICIA' inatarajiwa kutoka kesho, Septemba 18

    Ijumaa ya tarehe 18 mwezi huu wa 9 inatarajiwa kutoka Album ya mwanamuziki nguli kutoka nchini marekani, Alicia Keys. Album hii itakuwa ni Studio Album ya 7 kutoka kwa mwanamuziki Alicia Keys katika carrer yake ya muziki. Album yake ya kwanza ilikwenda kwa jina 'Songs in A Minor' iliyoachiwa...
Back
Top Bottom