Wakuu, Nilinunua charger simu na cover la simu kutoka aliexpress, covers zinaonyesha zipo nchini tayari, lakini charger inaonyesha delivery wakati mimi wala sijaipokea, nimechat na muuzaji kanambia nicheck labda kuna ndugu amesign na kuchukua kwa ajili yangu wakati hakuna kitu kama hicho...