Mwaka jana mwezi 3,2020, nilimnunilia jamaa yangu mmoja simu kwa akaunti yangu ya Aliexpress ila nilitumia Bank Details kufanya malipo.
Toka siku hiyo sijafanya manunuzi tena Aliexpress mpaka Last week ambapo Dada aliniwekea hela kwenye account yangu ya bank ninayoitumia kufanya manunuzi ili...
Naomba masaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress nishaweka order zangu kwenye cart lakini sina uzoefu wowote wa kununua bidhaa online kwa njia hii, nimewahi kununua kupitia kikuu pekee...
Nahisi namna ya kuagiza sio shida sana maana naweza kusoma kwenye tovuti yao na...
Very smooth, hakuna usumbufu kama baadhi ya mitandao yao. Nimeitumia sana kufanya online purchases na hata Leo nimefanya transaction online. By the way kwa wanunuaji wenzangu wa mitandaoni, naona AliExpress wako vizuri kuliko Alibaba au Kikuu in terms of product quality, price pia na uharaka wa...
Iko hivi wadau niliweka oda alie wiki ilopita ni oda ya simu ya simu toka kwa seller MI POCO, akaship mzigo kesho yake ila cha ajabu jana tar 11 na angalia nakuta mzigo umearrive destination country country , nkajiuliza mbona fasta hivo, nkaingia parcelapp tracking nkakuta mzigo umeika origin...
Wakuu Habari ya nyie, nahitaji kuagiza simu aliexpress ila sio mzoefu sana, make nilipoagiza mara ya kwanza kwa ajili ya kupata uzoefu ndo nilibaki njia panda, niliagiza kitu cha dollar 1.5 tar 01/06 mpaka leo tar 20/07 inasoma departed country of origin shipping method cannaiao economy global...
Wadau habarini za mchana.
Nilinunua bidhaa kule Aliexpress tangu December mwaka jana, mpaka leo sijapokea ujumbe toka posta juu bidhaa yangu kufika Bongo, ila yule muuzaji anadai percel imeshafika DSM muda mrefu tu.
Je inawezekana kwenda pale posta kuuliza endapo kama kuna kifurushi kimetumwa...
Natakaa kuagiza LCD hii hapa US $25.88 30% OFF|5.5
ni mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi kwenye mtandao huu pia kama kuna option naweza kupata kwa hapa Tanzania kwa bei nafuu na nikizuri mnisaidie.
Naomba muongozo kwa yule ambae amewahi nunua refubrished lg v20 au lg g6 aliexpress maana nataka nitoke kwenye shida za tecno naomba msaada wenu tafadhali.
Nakama una weza nieleza kwa simu hiyo naweza lipia kodi hadi bei gani.
Niliagiza kifaa fulani huko Aliexpress 10/10/2020. Niliambiwa nitarajie kupata kifaa hicho kati ya Novemba 2-Desemba 2. Mpaka sasa naona kimya.
Uliwahi kuwa katika hali hii?
Ulifanyaje?
Nimekuwa nikiagiza bidhaa nyingi kutoka Aliexpress, na mara zote nimekuwa nikitozwa kodi kubwa na posta ninapoenda kuchukua mzigo zaidi ya bidhaa bei ninazoagiza.
Nataka kujua kwa wenzangu ambao mnaagiza kama nyie mnatozwa hivyo au mimi nakosea sehemu!
Mnielekeze nifanyaje ili kupunguza kodi.
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kusafiri kwenda nchini India basi ni muhimu kujua kuwa Apps mbalimbali ambazo zinamilikiwa na kampuni za kichina ikiwemo TikTok na nyingine kama AliExpress zote zitakuwa hazifanyikazi.
Kwa mujibu wa serikali ya India, Sababu za kufungiwa kwa...
Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
Wanajamvi naomba mnisaidie kunielewesha nimenunua vitu AliExpress muda wakuvituma umepita mzigo sijapata je nazidai kwa kutumia njia gani wanirudishie
eBay pia nimenunua vitu seller amecancell je nafanyaje hela yangu warudishe.
Habari wana-bodi, kwa Majina naitwa Lwifunyo Mangula, ni mmoja wa watu wanaopenda technolojia ikiwamo IT ninaifurahia na nina kautaalamu kidogo kuhusu online business maana ninapenda hivyo vitu. So hapa nipo kutoa ushauri kwa wadau wengine kuhusu MPESA MASTERCARD TANZANIA kulingana na UZOEFU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.