Wakuu
Machawa wa Samia hawapoi
Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, ametangaza kuanzisha mashindano maalum yanayojulikana kama Samia Celebrities and Companies Cup, yenye lengo la kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ya michezo na burudani nchini.
Kupata taarifa na...
Alikiba akerwa na Master J baada ya kukerwa na kuchoshwa na tabia ya Master J kujifanya anafahamu sana muziki kwa kuwasengenya wasanii wa Tz
Alikiba alikereka na kauli ya Master J iliyoruka hewani kuwa Alikiba ana bana sana pua kama Wahindi kitendo ambacho kinaonesha watu kuwa Master J ni mtu...
Wakuu
Mwanamuziki maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Sean Paul, aliwasili Tanzania jana (Novemba 29) kwa ajili ya show yake inayotarajiwa kufanyika leo. Katika mahojiano na Bongo 5, alipoulizwa kuhusu Diamond Platnumz, Sean Paul alikiri kwamba hamfahamu msanii huyo lakini yuko tayari kukutana...
Mwakinyo na Alikiba ni watu wa maana sana kiufup mimi kama Mimi nawapongeza sana wanajitoa sana kwenye matukio kuna wale wavaa Heren na wanabana pua wakat wa kuongea wanaogopa vumbi. jamaa mwakinyo katoa ushilikiano sana mpka akatoboa ukuta na kuzama ndani ya shimo na Alikiba alivunja ukuta...
Msanii wa kizazi kipya wa bongofleva alikiba maarufu kama kingkiba wakati akifanya interview na cloudsfm amefunguka kuwa kuna watu wanaweka robot na wanajidanganya kuwa na views wengi hii imempelekea kuachia audio bila kuwa na video
Orodha ya Nyimbo (Video) kumi (10) za Diamond Platnumz ambazo zenye idadi kubwa ya Watazamaji (Views) kwenye mtandao wa YouTube katika historia yake ya muziki.
1. Yope Remix : +236M
2. Waah : +163M
3. Inama : +141M
4. Jeje : +102M
5. Nana : +100M
6. African Beauty : +86M
7. Marry You : +71M
8...
“STARTER the EP” Officially Out now Worldwide, Stream on All Music Streaming Platforms, Enjoy!!!
Bongo Flava Ndio Fahari Yetu, “STARTER The Ep” iko Hewani Kete ziko saba chaguo ni lako. Enjoy
As promised, 20th imefika Let me present to you “Starter The Ep” to you all my beloved fans, Now Out...
Rapa Wakazi ametoa kauli kali akiwakosoa wasanii kwa kutojitambua na kutojihusisha na masuala muhimu ya kijamii. Katika andiko lake, alisisitiza kuwa wasanii wengi wamepoteza dira yao ya kuwa kioo cha jamii na badala yake wanataka kuwa matajiri wakifuatilia mafanikio ya msanii maarufu Diamond...
Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki:
1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
alikiba
bongo
diamond platnumz
harmonize
hela
mastaa
muziki
nandy na bilinass
nje
ommy dimpoz
rayvanny
sugu mbeya
wasafi bet
wasafi fm
wasafi tv
wcb wasafi
😂😂 hivi huyu Dulla Makabila ana nini kwani? Jamaa amekuja na tuzo zake "Makabila Awards" na ametangaza vipengele tisa vilivyojaa utani, kuna UVUMILIVU, FITNA YA MUZIKI, CHAWA BORA mpaka KUPENDA WAGANGA 😂😂
Sema Ruby na Ray the Boss kama hajapenda hivi. Wakasuka kwenye comments na kumpa vidonge...
Maneno ya Alikiba
"Hutawai niona nikipost pesa, magari makubwa ama vitu expensive namiliki, sio kwa sababu siwezi, ni kwa sababu nayajua haya maisha vyema, kuna watu wanateseka na wanatamani izo pesa na hayo maisha unayoposti.
Haina haja nipee mashabiki wangu pressure na hao ndio wamefanya...
Habari za muda naomba kufahamu kama Kuna mwenye taarifa yoyote inayomuhusu alikiba
Nimekuta mahali wamepost tumuombee na kwingine tena hivyohvyo kwa anayefahamu chochote kumuhusu, kuhusu hizi taarifa.
Asante.
Baada ya wimbo alioshirikiana na Nandy kushika namba moja Tanzania na kuendelea kumuacha nyuma Diamond kwenye baadhi ya nchi, Alikiba amerusha maneno yanayotafsirika kuwa ni kijembe kwa Diamond Platinumz.
Kupitia Instagram Alikiba ame-share wimbo wao unavyotrenda kwenye baadhi ya nchi na...
Producer wa muziki wa Bongofleva Master Jay, amesema kuwa Diamond hawezi kumfikia Alikiba kwenye uimbaji wa muziki.
Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema,
“Alikiba ni muimbaji bora na Diamond ni mburudishaji bora. Watu wabishe vile wanataka ila mimi ndio nimeongea...
Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava
1. Harmonize, Jux & Marioo
2. Diamond, Barnaba & Jay Melody
3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso
Utasikiliza kundi namba ngapi?
Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji.
Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya yake hamna msanii yoyote atayethubutu kufanya show, maana itakuwa hasara.
Kwa huku Mtwara, msimamo wa...
Habari Wanajf,
Kwakweli nilitegemea wonders kutoka kwa Alikiba kwenye show hii ya Ufunguzi wa Michuano ya African Super League, labda anaweza akaja tofauti kutokana na ukubwa wa event yenyewe, lakini tatizo lake limebakia lile lile sio good performer.
Kaimba kichovu sana, hii ndio ilikuwa...
Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao akiwa msanii Ali Kiba.
Wakati wa mazishi kuna kitendo ambacho kimetokea ambacho kimepeleka Ali Kiba...
Unaingia kwenye show unazurura uwanjani ukivimba kuonyesha ufalme wako.
Kwanini usituonyeshe ufalme wako kwenye kazi yako. Mwisho wa siku ikawa ni makelele na uchawa mwingi..
Yaani huyu msanii hata intro tu ya show nayo ni taabu... Sijui ni kujikweza na kiburi tu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.