alipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022, Qatar leo Oktoba 4, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022 Multaqa Centre - Doha Qatar leo tarehe 04 Oktoba, 2022. Kufahamu ziara nyingine za Rais Soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe...
  2. S

    Agosti 30 kila mtu kwa Imani yake na mahala alipo tumlilie Mungu dhidi ya TOZO

    Watanzania tuna silka yetu ama ukipenda tabia yetu iliyozoeleka ya kutokupigana hasa tunapokuwa kwenye mtanziko ama mkwamo wa Jambo lolote lile. Huu siyo uzumbukuku, uzoba ama uzwazwa kama wengi wasemavyo bali ni karama toka kwa mola waliopewa watu wa taifa hili. Nchi hii ni Kisiwa cha baraka...
  3. JanguKamaJangu

    Mahakama yamuhukumu miaka 30 jela kwa kumbaka mama yake. Mtuhumiwa na mdhamini wake hawajulikani walipo

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu mfanyabiashara, Kaloli Mkusa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya shilingi milioni moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mama yake mzazi. Hata hivyo mfanyabiashara huyo mwenye umri wa miaka 30 pamoja na baba yake Joseph Mkusa ambaye alimuwekea...
  4. JanguKamaJangu

    Bunge laulizwa alipo Job Ndugai, lasema halina taarifa alipo, inawezekana yupo jimboni kwake

    Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai. Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
  5. Alfred Daud Pigangoma

    Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

    Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtangulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja! Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani...
  6. JanguKamaJangu

    Mauaji ya Kanisani, jina la Katekista latajwa, AKIMBIA, asakwa na Polisi

    Kufuatia mauaji ya Nickson Myamba ambaye alikuwa ni Katibu wa Baraza la Walei Kigango cha Makambako, Jimbo la Njombe, Februari 7, 2022 kisha kudaiwa mwili wake kutenganishwa kichwa na kiwiliwili, bado kuna hali ya sintofahamu kuhusu tukio hilo. Tayari Jeshi la Polisi la Njombe kupitia kwa RPC...
  7. Mawematatu

    Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

    Nampenda sana Bahame. Nime mfollow sana maeneo mengi. Ana mwanae nahisi ama anasoma Kusini au wanaishi wote somewhere in the South. Dunia ina balance pale kila mmoja akabalansisha mambo...langu mie I love you Sylvia Bahame.
  8. J

    Hivi kwanini ukiwa mahali alipo Rais Magufuli unajisikia amani sana!

    Nipo hapa Ikulu kwenye mkutano wetu sisi wafanyabiashara na mkuu wa nchi, kwa kweli najisikia amani sana. Nimewahi kufika mahali hapa katika awamu zilizopita lakini safari hii najisikia amani zaidi kuwepo mahali hapa. Ule wasiwasi na mashaka havipo kabisa yaani najihisi nipo mahali salama...
Back
Top Bottom