Ninauza alizeti zipo mkoa wa mbeya mjini na Rukwa bondeni. Mawasiliano ni 0769902875
Karibuni sana, bei ni maelewano.
Nb: Alizeti ni ya mwaka huu imetoka shambani.
Habarini wadau ninauza mbegu za alizeti safi kabisa, zina mafuta mengi. Zipo Mbeya Mjini na bonde la Rukwa.
MAWASILIANO ni 0769902875, Bei ni nzuri na bei ni maelewano
Nb: Mbegu ni mpya za mwaka huu zimetoka shambani
Nimekuwa safarini tangu mwezi March katika mikoa mbalimbali, nilichokiona humo njiani ni alizeti kuchanua ziki face upande wa mashariki, nimeiona hii Singida, Dodoma, Iringa, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
NB: Naomba michango yenye kuelimisha tafadhali.
Ninauza Alizeti, Mashudu ya Alizeti, Mafuta ya Alizeti.
Pia, ninayo mahindi mapya mwaka huu, na Mahindi ya mwaka Jana. Alizeti ni ya mwaka Jana. Karibuni sana waungwana.
Pia, Kwa ushauri wa kilimo cha Alizeti, Mbaazi, Mahindi, Dengu na karanga
Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi.
Best Price for Suck of Sunflower meal or Seeds.
Mashudu ya mafuta ya alizeti ni chakula cha mifugo ambacho kina thamani kubwa sana. Chakula hiki kina weza kutumika na wanyama kama Kuku, Bata...
Habari Wadau,
Ninatafuta Wanunuzi Wa Mbegu Za Alizeti Kwa Ajili Ya Kukamua Mafuta.
Nina Tani Za Kutosha Ni Uwezo Wako Tu Mteja.
Kilo Moja Nauza 965/=
Oda Ya Chini Kabisa Tani 1 = Kg1000
PM Kwa Maelezo Zaidi.
Hii ni mara ya pili nanunua mafuta ya alizetia ambayo yanatia ladha mbaya kwenye chakula. Hivi wengine mshakutana na hii? Kuna anayejua inasababishwa na nini? Au ndo alizeti feki?
Kuna mtu kanunua mafuta ya alizeti, akauliza 'expire date' akaambiwa hayana 'expire date'. Kwamba ni kama asali.
Je, kweli? Kwani baadhi ya 'package' za bidhaa hiyo haionesho mwisho wa matumizi. Na nyingine inaonesha lakini tayari imeshapita japo bado iko sokoni!
Naomba kwa anayejua anisaidie!
Wilaya ya Kiteto ipo Kusini mwa mkoa wa Manyara. Kiteto ina kilomita za mraba 16,685 na jumla ya wakazi 244,669 kwa mujibu wa Senasa ya mwaka 2012.
Upande wa Mashariki Kiteto imepakana na mkoa wa Tanga , Kusini mkoa wa Dodoma, Kusini Mashariki Mkoa wa Morogoro upande wa Kaskazini...
UTANGULIZI
Sekta ya kilimo inachangia zaidi ya 40% ya pato la taifa. Ili taifa loloteliweze kukua vizuri kiuchumi lazima liwe na mikakati dhabiti na endelevu juu ya kilimo bora na chenye tija kwa taifa na kwa wananchi wake
Kilimo za alizeti...
Habari wana jamvi,
Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za Serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45 mafuta yametoka lita 7 tu, hivi hawa watafiti wa hizi mbegu mlisomea chini ya zizi la nguruwe au?
Leo nimepita maduka kadhaa, kwenye shelf za maduka husika yamejaa mafuta ya kula yameandikwa Singida yakiwa yametengenezwa kwa zao la alizeti linalolimwa sana Singida. Hii imetokana na bei ya mafuta mengine kupaa hivyo watumiaji na wafanyabiashara kuamua kuhamia Singida, bei ya mafuta kutoka nje...
Nimeona maelezo ya mama ssh kuwa wanaangalia upya kodi ya mafuta ya kula, mie sioni sababu ya kupunguza kodi na ikiwezekana ipandishwe badala yake tuwekeze kwenye kilimo cha alizeti ufuta na michikichi, tuwasaidie wananchi kuwekeza kwenye mashine za kuchakata mafuta ya kula hasa alizeti...
Habar Wana Jf,
This year, tmeona mfumuko wa bei hasa kwenye mafuta,
Nazungumzia Cooking oil.
Siku zote nlikua nawaona WAKULIMA WA malighafi za uzalishaji mafuta ya kula wako nyuma sana, hasa kwenye bei wanazopewa na wawekezaji , lakini wazo langu kwa sasa lmefitika kwani Hawa jamaa Nawaona...
Habari zanu wadau wa JamiiForums,
Poleni na shughuli za kila siku za kujenga uchumi wetu. Leo naombeni msaada wenu wa kunitoa matongotongo kuhusu kilimo kipi kinalipa/au kisicho na usumbumbu mkubwa pia stahimilifu (weather tolerance) kati ya Dengu au Alizeti).
Wadau najua kuna trends nyingi...
Wataalam mlioko makini naombeni msaada wenu.
Natumai mu wazima na harakati za kujenga Tanzania yetu. Mimi nimeingia kwenye kilimo mwaka huu na kwa kuanzia nililima mahindi, na hatua ya kwanza nimefanikiwa pakubwa. Ila nawaza kujiingiza mzimamzima kwenye kilimo, kila nikiwaza ni kilimo gani ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.