ally kamwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Ally Kamwe asema kikosi cha Yanga kitawasili saa 11 uwanjani kujiandaa na Mechi ya dabi leo jioni

    Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni. Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu...
  2. The Watchman

    Ally Kamwe: Habari za kufungiwa sio za kweli TCRA washughulikie taarifa kama hii

    "Na mimi nitumie nafasi hii kuwaomba watu wanashughulikia mitandao ya kijamii (TCRA) washughulikie taarifa kama hii, kwasababu Unapotoa taarifa kama ile huenda una vyanzo, lakini madhara ya taarifa kubwa kama ile ni makubwa kweli kweli, ule usiku wa taarifa imetoka nilienda kukesha hospitali na...
  3. JanguKamaJangu

    Ally Kamwe: Tetesi za kufungiwa zilimpeleka mama yangu hospitali, alipata mshtuko

    Baada ya tetesi za Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kudaiwa kufungiwa (kama hukusoma bofya hapa -Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF), Mwanayanga huyo amejitokeza hadharani na kuelezea kuhusu madhara ya tetesi hizo na jinsi...
  4. Waufukweni

    Tetesi: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF

    Wakuu Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani? Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo? Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Laana ya Juma Mgunda imemtafuna Ally Kamwe

    Kuna tetesi kwamba Kamwe amepigwa ban ya miaka miwili. Nakubaliana na ban na yeyote anayeketa ujinga ujinga unaofanana na huyo apigwe na kitu kizito. Niwakumbushe tu huyu bwana mdogo aliwahi kumdhalilisha Juma Mgunda. Akasema kati ya Mgunda na Andazi, yeye anachagua andazi. Viongozi wa timu...
  6. Waufukweni

    Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"

    Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amemjibu Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, kufuatia tuhuma alizozitoa za Simba kubebwa na waamuzi katika Ligi Kuu. Kupitia ujumbe wake, Ahmed; Soma: Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, alitoa tuhuma kali...
  7. M

    Hongera sana Ally Kamwe kwa uungwana wako dhidi ya shabiki maandazi aliyempiga kibao Dokta Mohamed

    Nimehuzunishwa sana na kitendo cha shabiki wa Yanga kumtandika ngumi ya uso mwanachama wa Simba Doctor Mohamed akiwa anahojiwa na chombo cha habari, shabiki huyo aliyekuwa amefuatana na Ally Kamwe wakiwa wanatoka uwanjani alimtandika kibao dokta Mohammed kufuatia Yanga kuondolewa mashindanoni...
  8. mdukuzi

    Ally Kamwe bado ana utoto mwingi anaigharimu timu

    Nafasi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei. Anatujaza upepo mashabiki wa Yanga tofautina uhalisia.
  9. S

    Haji Manara Yuko Wasafi FM, Ally Kamwe kaenda Crown FM kwa hasimu wa Haji Jemedari Said, Yanga is very unprofessional

    Cjui wanayanga mumsikilize nani, Manara Yuko Wasafi badala ya kuhamasisha watu waende uwanjani kesho yeye anatamba Simba haitofunga Yanga hadi mwaka 2030, huyu mwenzake naye kavalia bukta na mjezi wa Yanga akiwa na wapambe wake wameingilia Crown FM ambayo Manara hawezi kwenda kwa sababu Yuko...
  10. M

    Ally Kamwe chukua tahadhari, Manara kuhamasisha gemu ya Yanga vs TP Mazembe ni udhaifu wako kiutendaji, usiruhusu hilo

    Wewe ndio afisa habari wa Yanga, wewe ndio unatakiwa upite kwenye media zote ushawishi wanaYanga waende disband kuishangilia Yanga mwanzo mwisho, kazi hiyo unaiweza vizuri sana. Wewe umeaminiwa na taasisi kubwa ya michezo nchini, Yanga, wananchi wanakukubali sana wewe. Wakati wanaYanga...
  11. L

    Gusa Achia Twende Kwako imeanza kufanya kazi, kazi ipo

    Mashine ya Mjerumani imeanza kazi huko DRC ambapo ile falsafa ya Gusa Achia Twende Kwao imeanza kufanya kazi ambapo mkongo kakimbizwa isivyo kawaida kipindi cha pili hadi akaamua kuachia, ilikuwa Gusa Achia Twende Kwao mwanzo mwisho na kama refa angaliongeza dakika 10, Gusa Achia Twende Kwao...
  12. Waufukweni

    Ally Kamwe amtolea povu Baba Levo "Sijakutuma kuniombea msamaha"

    Ally Kamwe amtolea povu Baba Levo: akisema: "Sijakutuma kuniombea msamaha," baada ya Kampuni ya Kisheria inayomwakilisha mfanyabiashara Sandaland the Only One, mtengenezaji wa jezi za Klabu ya Simba, kumtumia barua ikimtaka kulipa fidia ya Shilingi Bilioni Tatu. Barua hiyo inadai kwamba kauli...
  13. Shanily

    Ali Kamwe aombe radhi yaishe asilete ujuaji wake

    Defamation Haina uzito kwa tz tu kwakua watu wanachukulia poa, lakini kwa nchi za wengine ni bonge la case. sio kosa kuponda jezi za Simba, kosa ni kutaja jina la mtengenezaji na msambazaji. kataja neno sanda ni kuharibu brand ya watu. Sanda ni brand ndomana jina la sanda linasoma kwenye jezi...
  14. Waufukweni

    Wanasheria wa Sandaland wadai fidia ya Bilioni 3 dhidi ya Ally Kamwe kwa kukashfu Jezi za Simba

    Wakuu Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya BILLION TATU kutokana na kauli za kumchafua Mteja wao na imepelekea kuathiri biashara zake. Wanadai...
  15. kavulata

    Ally Kamwe hold on, kuipa mechi Dube day ni kumkwaza kocha

    Unataka kocha lazima ampange Dube acheze hata kama hayupo kwenye mpango wake. Hiyo ni sawa?
  16. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Pamba Jiji FC 📆 03.10.2024 🏟 Azam Complex 🕖 6:30PM(EAT) Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC Mpira umeanza Dakika ya 5 Goal Baccaaaaaaaaaaa Dakika 7 Tunashambulia kwa kasi Dakika ya 12 Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 14 Tunapata...
  17. kavulata

    Baada ya Ally Kamwe kuzirai, kitabibu alipaswa kubadilishiwa majukumu

    Unapomuona mtu amezimia/amezirai maana yake kulikuwa na shida kwenye kupeleka damu kwenye sehemu ya ubongo (brain). KAMA damu haifiki au ikipungua sana kufika kwenye ubongo maana yake kutakuwa na ukosefu pia wa Oxygen and glucose (chakula) kwenye ubongo. Ukosefu wa oxygen kwenye ubongo japo kwa...
  18. Waufukweni

    Je, Yanga ameshuka Kiwango na kutafuta visingizio au ndio Propaganda za soka la Tanzania?

    Wataalam wa Sayansi ya mpira tujadiliane kidogo kuhusu hili linaloendelea mitandaoni Tangu mechi ya kwanza ya Ligi Kuu, Yanga akiwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar licha ya kushinda bao 2-0 bado kulizuka mijadala kuhusu kiwango chao, hata mechi zilizofuata (na CEB 1-0, Ken Gold 1-0 zote ugenini)...
  19. Waufukweni

    Ally Kamwe Aongoza Dua Yanga SC Iwe Kundi Moja na Mamelodi Sundowns

    Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa...
  20. Waufukweni

    Mwanasheria wa Yanga: Mchezaji Yusuph Kagoma alisaini mkataba wa miaka mitatu na Yanga

    Mwanasheria wa Yanga, Simon Patrick, ametoa ufafanuzi juu ya umiliki wa mchezaji Yusuf Kagoma baada ya mazungumzo marefu na klabu ya Singida Fountain Gate. Patrick alisema, "Tulianzisha maongezi ya muda mrefu na Singida Fountain Gate kwa lengo la kununua rasmi Yusuf Kagoma." Kwa mujibu wa...
Back
Top Bottom