Mmesikia huko 😂
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametumia ukurasa wake wa Instagram kuelezea kuhusu mchezaji wao, Yusuph Kagoma, na uvumi unaozunguka hatma yake.
Ahmed Ally ameandika:
"Klabu yenu inampenda sana Yusuph Kagoma, yaani kila mkilala mnamuota. Roho zinawauma...
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe leo ameonesha uwezo wake wa kulirudi sebene jukwaani kwenye shamrashamra za kilele cha Tamasha la Kizimkazi visiwani Zanzibar.
Pia soma: Rais Samia awabubujisha machozi ya furaha wana Yanga, awapigia simu Uwanja wa Taifa
Kila kitabu na zama zake , Haji Manara alikua moto sana kipindi anashindana na Murro wakati Haji akiwa Simba sc na Muro akiwa msemaji wa Yanga hakika nilishuhudia na kusikia maneno yenye mbwembwe na kejeli humo humo ndani yake hakika gemu ilichangamka mno tena mno na hiyo yote kwa kua walikua...
Yu wapi?!
Haja onekana kabisa kwenye Tamasha.
“Yanga Walikosea kama unaweza kumtafuta Mobetto popote alipo sasa kwanini walishindwa kumtambulisha alikamwe na kama allishindwa kufika uwanjani hata wangemtaja tuu.
Soma pia: FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium
PS...
Kuna mchuano mkali hapa, atakayetangaza nadhani ndo picha halisi kwamba ana nguvu kuliko mwenzake ndani ya Yanga.
Hapo lazima kutakuwa na anguko la mmoja kati ya hao hapo
Labda kuondoa sintofahamu atangaze Maulid Kitenge.
Je, kwa mawazo yako nani atapewa kipaza sauti siku hiyo?
Wadau hamjamboni nyote?
Huwa sipendi kuhoji Imani za watu wengine kwani Kila mtu ana Imani yake nahivyo huwa namheshimu
Hata hivyo Leo nimeona nihoji japo kwa uzuri tuu.
Kwamba waliagizwa na bosi wao kuua wazazi, Ndugu na jamas zake wote japo wengineo walifanikiwa kutorokea baharini...
Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu tarehe 8 akidai watafanya mauaji, akaahidi kuwa endapo Simba hatofungwa chini ya bao 4 atarudi pale...
Ujio wa Manara Yanga unamnyima raha Ally, kama Ally hatauona ujio wa Manara kama faida kwake kufanyakazi na mkongwe/nguli kwenye tasnia na badala yake amuone kama adui kwake, patachimbika.
Kwakuwa ni ukweli kuwa Ally sio bora na maarufu kuliko Haji, hivyo anatakiwa kuchota uzoefu wa Haji ili...
Naona kazi ya usemaji babu yetu Mzee Manara na yeye kaiingilia, yaani kazi iliyofanywa kwa ufanisi na weledi mkubwa, leo anaongezwa mtu mwingine.
Leo katika mkutano na wanahabari, yaani ikawa mvurugano tu, hamna consistency. Vitu vichache wamejaa wasemaji wawili. Vionjo vya Ali Kamwe vina miksa...
Wakuu,
Kumbe na kwenye soka kiki ni dili!
… Tumewaambia kilele ni August 4, lakini kama ilivyokuwa utamaduni wa Yanga sisi tuna Wiki ya Wananchi ambayo kilele chake ni ndiyo August 4, na hiyo wiki ndiyo inaanza leo (Julai 29, 2024)
Timu itawasili leo saa tisa usiku kutoka Afrika Kusini uwanja...
Post aliyoweka jana akiaga mashabiki kaifuta kwenye ukurasa wake, je ni kweli kaondoka tena au ni kiki tu za michezo ila alikuwa amemaliza mkataba wake na hivyo kuongezewa mkataba mwingine?
Zaidi soma: Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani
====
Rais wa Yanga Eng. Hersi...
Hii Taarifa ina ukweli gani?
Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki
===
Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua...
“..tulishawalipa, hakuna kesi yoyote FIFA inayoihusu Yanga” – Ally Kamwe anafafanua kuhusu madai ya timu hiyo kudaiwa na baadhi ya wachezaji iliyoachana nao, atangaza tarehe ya kuanza kutoa ‘thank you’ kwa wachezaji wao, asisitiza kufanya usajili mkubwa na wa kishindo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.