DKT SAID ALLY MOHAMED alikuwa ni Afisa wa mitihani (Examinational officer) wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania(OUT) .Mwaka 2021 alichaguliwa kama Katibu Mtendaji Baraza la mitihani (NECTA). Uteuzi huu ulikuwa ni zawadi safi aliyoifanya mwaka 2018.
Kwa kuhakikisha wahitimu mwaka huo wako vizuri...
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Ali Kadogo, ameibuka upya katika siasa baada ya awali kutangaza kupumzika. safari hii, ameonekana kwenye kikao maalum cha chama cha CHAUMMA, akitoa kauli kali iliyowagusa wengi, hasa walioko kwenye vyama vya upinzani.
Kadogo amesema kuwa...