Habari wapendwa!
Kuna jamaa yangu ana uhitaji kibiashara hana mtaji wa hela ila anataka gari aina ya Alphard no E iliyo katika hali nzuri kwa ajili ya wazo lake kibiashara.
YEYE:
Kiwanja 30 kwa 30
Kipo kibaha mail moja
Kina beacons tayari, kina pagale zuri hatua ya rinta, umeme na maji...